Hizi gari hapana, nitabadilishana na Bodaboda

Hizi gari hapana, nitabadilishana na Bodaboda

Acha dharau maisha ya mtanzania hayana guarantee kesho umepigwa chini kazi huna Mia njiani mvua inanyesha wanakupa lift na hako ka mini porte.
 
Habarini Wakuu,

Tangu mwaka wa 2018 June nilikuwa nikihitaji at least kupata usafiri binafsi. Katika mchakato wa kuwashirikisha wajuzi zaidi wa magari na madalali baadhi wamekuwa wakisuggest aina za magari ambayo zilikuwa zinanichekesha sana Wallah

Kuna aina za magari binafsi naona zina muundo mbaya (body structure) hasa kwa Wanaume.

Ikitokea nikapewa zawadi ya magari hayo nitabadilishana na mtu mwenye pikipiki BOXER muda huohuo kabla ya Masaa 6.

Gari hizo ni Porte, Nadia na aina flan ya Suzuki:


Na gari hauna?
 
Sasa mleta mada atupe mwongozo wa aina za magari ambayo tunapaswa kuendesha.
Endesheni gari zenu msiogope mkuu, ni mtazamo tu!

Ila kwenye kununua gari tujitahidi basi tujitahidi kununua gari zenye form kidogo hata uki pimp ikae mkao. Imagine unatia rims kigari kama ki soap dish au lunch box! Hakiwi na mvuto kabisa ila tia rim kwenye Brevis ama Mark X utaona mashine inavoita.
 
Habarini Wakuu,

Tangu mwaka wa 2018 June nilikuwa nikihitaji at least kupata usafiri binafsi. Katika mchakato wa kuwashirikisha wajuzi zaidi wa magari na madalali baadhi wamekuwa wakisuggest aina za magari ambayo zilikuwa zinanichekesha sana Wallah...
Vipi kuhusu SIENTA
 
Gari la kwanza nzuri sana. Leg room na head room kubwa kweli. Kwanza Porte yenye three door linawafaa walemavu wenye wanatumia wheel chair. Gari comfortable hilo.
 
....hivi kukaa kituoni kusubiri mwendokasi au daladala, kugombania na kuingilia madirishani VS kuwa na passo, toyota BB, Toyota Will, Porte,Swift, Nissan March au Nissan cube ukae ndani uwashe kiyoyozi na mziki wa taratibu.....ni kipi afadhali..?
Mbona watz hamueleweki..

Pelekeni usenge huko MBWA nyie.
download.jpg
 
Back
Top Bottom