Mr Equalizer
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 611
- 727
Ni kweli mkuu nilikuwa nayo mpaka Leo inaonekana mpyaKuna model ya Toyota inaitwa ISIS , hizi gari ni nzuri hasa ukipata yenye cc1790 vvt-i utafaidi sana.
Mwendo upo , nafasi kubwa ndani na matumizi mazuri ya mafuta.
Gari nzuri ni voltzKuna model ya Toyota inaitwa ISIS , hizi gari ni nzuri hasa ukipata yenye cc1790 vvt-i utafaidi sana.
Mwendo upo , nafasi kubwa ndani na matumizi mazuri ya mafuta.
VoltzTatizo ni muonekano utadhani noah.
I second you!Gari nzuri ni voltz
Voltz iko poa sana kwa muonekano.Voltz
Weka pichaKuna model ya Toyota inaitwa ISIS , hizi gari ni nzuri hasa ukipata yenye cc1790 vvt-i utafaidi sana.
Mwendo upo , nafasi kubwa ndani na matumizi mazuri ya mafuta.
Acheni uzembe ,ingia kwenye tovuti ya kampuni yoyote inayouza magari utaiona.Weka picha
Dogo ,kama bado unaishi kwa baba bora unyamaze haya mambo ya magari siyo kiwango chako.Sa sisi tufanyeje? Isis unataka kugegedea kabisa?
Dogo ,kama bado unaishi kwa baba bora unyamaze haya mambo ya magari siyo kiwango chako.
Kichwa chako kimejaa mawazo ya ngono tu .Hizi ni tabia za vijana wa shule.
Sikujua kama unatania nilidhani nawe u- miongoni mwa wale vijana wadogo wasiojua chochote hapa duniani zaidi ya ngono.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mkuu ISIS ni design km noah (kitimoto) aka mobile guest house!
Ukitaka ushauri bora ugoogle, wengine tunapunguza stress don't take it serious
Kama we ni mwanaume (machine) hii inakuhusu
Ref: why men cant listen and women can't read maps