Hizi gari ni nzuri

Hizi gari ni nzuri

Mr Equalizer

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2013
Posts
611
Reaction score
727
Kuna model ya Toyota inaitwa ISIS , hizi gari ni nzuri hasa ukipata yenye cc1790 vvt-i utafaidi sana.

Mwendo upo , nafasi kubwa ndani na matumizi mazuri ya mafuta.
 
Hilo gari silipendi muonekano wako! Ingawa napenda jinsi lilivyo na nafasi ndani
 
Sa sisi tufanyeje? Isis unataka kugegedea kabisa?
Dogo ,kama bado unaishi kwa baba bora unyamaze haya mambo ya magari siyo kiwango chako.

Kichwa chako kimejaa mawazo ya ngono tu .Hizi ni tabia za vijana wa shule.
 
Dogo ,kama bado unaishi kwa baba bora unyamaze haya mambo ya magari siyo kiwango chako.

Kichwa chako kimejaa mawazo ya ngono tu .Hizi ni tabia za vijana wa shule.

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mkuu ISIS ni design km noah (kitimoto) aka mobile guest house!

Ukitaka ushauri bora ugoogle, wengine tunapunguza stress don't take it serious
12b3ae1593de30f25ab21d80f1a9eb0d.jpg

Kama we ni mwanaume (machine) hii inakuhusu

Ref: why men cant listen and women can't read maps
 
Sikujua kama unatania nilidhani nawe u- miongoni mwa wale vijana wadogo wasiojua chochote hapa duniani zaidi ya ngono.

Majibu yako yamenionesha hauko kundi hilo.

Hii gari inawafaa sana Watanzania wa kipato cha kawaida, kwani unaweza kuitumia kwa matumizi mbalimbali, kutokana na nafasi kubwa iliyopo ndani yake.
 
Watanzania wengi hatununui gari tunazozipenda ila tunazoweza kumudu bei zake.

Ahsante kwa ushauri mzuri.
 
Back
Top Bottom