HIZI HAFLA ZA KUTIA SAINI GHARAMA HUA NANI ANALIPA?

mirindimo

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2009
Posts
901
Reaction score
1,742
Hafla zimekua nyingi sana kuzidi ytendaji na utekelezaji , hizi hafla ni nani hua analipa gharama za eneo husika , mapambo , na per dm za washiriki ?
 
Kodi zetu mkuu ,kwakifupi sisi wananchi ndiyo tunalipa.
 
Watapata wapi posho , unakuta wote wanatoka Dodoma pamoja na mkandarasi wanakodisha ndege kila mtu na timu yake ...Wanasafiri mpaka Arusha wanaenda kuweka saini , baadaye wanarudi wote Dodoma .
 
Hafla zimekua nyingi sana kuzidi ytendaji na utekelezaji , hizi hafla ni nani hua analipa gharama za eneo husika , mapambo , na per dm za washiriki ?
kama hafla ni nyingi za kutia saini basi hiyo ni dalili nchi imechangamka sasa kila sehemu ni kazikazi..
hongereni watendaji na mama Samia!
 
Back
Top Bottom