Ongezea:
Notebook,pens, highlighter,diary au daily planner, a book, scarf, handkerchief.
Kila mwanamke ana mahitaji maalum. Siyo kila mwanamke atahitaji kila kitu kilichoorodheshwa hapa.Kuna wanawake wafanyabiashara, wafanya kazi maofisini - hawa nao wamegawanyika - Executive siyo lazima abebe bag kubwa anaweza kuwa na handbag ndogo (yenye wallet itakayohifadhi pesa, ATM etc.Pia ataweka hand lotion, chana ndogo kama hajasuka, miniature perfume,lipstick or shine,face poweder kama anatumia, wanja, driving licence etc) na akabeba brief case pia au mfuko wa kuweka vifaa vya kazi.
Mwanamke muuza baa, mgahawa au nesi anaweza kubeba bag kubwa akaweka khanga, au uniform, viatu flaties etc.
Kina kaka msiwe mnashangaa sana kuona mabag hayo.
NB: Bags kubwa kwa sasa ni fashion lakini kuna wanaozidisha au kushindwa kuelewa walibebe wapi na wakati gani.
Ukubwa au udogo wa bag unaendana na kimo cha mtu pia huwezi ukawa mfupi ukabeba bag kama umebeba fuko la nguo za kufua!