Hizi hapa Dalili za kwamba DP world na mengine ni madili haramu
1. Hakuna ufafanuzi wowote unaojibu hoja kwanini Magufuli aliikataa DP world baada ya kifo chake sasa inapokelewa
2. Enzi za Magufuli aliwahi kusema, wazee wastaafu waache viherehere vya kuishauri ikulu je waliacha?
3. DP world kama inayo faida tunahara ya nini kuipitisha haraka haraka?
4. Kwanini nguvu kubwa imetumika kuwapanga waandishi wa habari ili hali kama jambo ni la kheri?
5. Nani atalipa ule mkopo uliokopwa kuendeleza bandari wakati huo bandari itachukuliwa na kuendelezwa na DP world?
6. Kuna ubaya gani mkataba ukitaja muda angalau wa miaka kumi kumi ili Rais mwingine anapoingia madarakani aweze kuboresha au kuondoa?
7. Kitu gani kimewatia upofu wabunge hadi waamini wanaokosoa waonekane wanapotosha?
8. Bajeti ya kuwahamisha wa masai loliondo alitoa nani na mkataba wa muwekezaji kule unasemaje?
9. Ile ndege kubwa ya mizigo KIA mwaka jana ni kweli ilileta mabegi ya wataliii?
10. Kama gas ipo, kwanini serikali haitoi vibari kuwepo Gas station za kutosha hadi mikoani (nani anafaidika na soko la mafuta haya yanayopanda bei kwa kisingizio cha vita na kuzuia kujengwa vituo vingi vya gas?)
11. Inadaiwa hata michango ya wabunge kupitisha DP world walichangia kwa kupangwa! Akiwemo Halima mdee ambaye alipangwa kusema vile kimchongo ili spika apenyeze ufafanuzi!