Zainab j
JF-Expert Member
- Sep 24, 2018
- 1,817
- 2,362
Dua za masikiniNape ulaaniwe na baba yako aliye kaburini , akulaani ufe kibudu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dua za masikiniNape ulaaniwe na baba yako aliye kaburini , akulaani ufe kibudu
Huu ndio utafiti uliokutana nao kwa kuifuatilia DPW? hili ndio jibu?Nimewasikiliza sana wale wote wanaoitetea DP World....tena nimewasikiliza kwà misikilizo yote... I mean,... I listened to them ,...carefully, attentively, silently and repeatedly....
Lakini....kila nikijaribu kuoanisha na maarifa , Uelewa , utambuzi na hekima , zinazotumika au vinavyotumika kwenye maneno yao...naona kabisa...hawajui walitendalo. Na tena naona hao jamaa sio Wazalendo kabisa kabisa #CorruptedMinds Bure kabisa!!!!
Kwema Ndugu zangu,...
Kama kweli mnataka kuujua ukweli wote kuhusu sakata la DP World, fanyeni yafuatayo:-
1. Itafuteni DP World humu ndani ya Nchi yetu au Bara letu ( jiridhisheni kabisa na utendaji Kazi wake )
2. Then Tokeni nje ya Nchi yetu au nje ya Bara letu ...( Huko ndiko mtaupata ukweli wote kuhusu DP World ). Na hapo ndipo mfanye maamuzi ya kuifanya iwekeze kwenye bandari yetu au la.
Note: Kilichofanywa na Viongozi wetu ni uhuni wa wazi kabisa kwani si rahisi hata kidogo kupata ukweli wa jambo lolote kwà kukimbilia kulifukunyua kwà nje KWANZA badala ya kuanzia kulifukunyua ndani.
Note: Nikionacho Mimi, naona kabisa...kama tukiruhusu hao jamaa wakawekeza, basi huenda tukaupoteza uhuru tuliokuwa nao kwenye bandari yetu.
I mean, hatutakua tena na BANDARI HURU, bali tutakua na BANDARI BUBU ( Hatutakua na mtu wa kutusemea kwa lolote , ....na zihurumia sana rasilimali zetu ...ee Mungu tusaidie [emoji24] )
Ulihongwa kiasi gani Ndugu yangu? Mbona povu linakutoka sana na unaongea kwà sauti kubwa kiasi hicho?Huu ndio utafiti uliokutana nao kwa kuifuatilia DPW? hili ndio jibu?
Wewe pia ni mmoja wao waliohongwa na DP World.Heading ya Uzi unasema ukweli wote kuhusu DP World huu hapa, tusiojua huo ukweli mbio mbio kuja kusoma
Fungua Uzi sasa ukauone huo ukweli wote, kumbe ni wale wale wanaotaka kuonekana wanajua kila kitu na hawataki wapitwe
[emoji23][emoji23][emoji23] wabongo bhana! Kuelewa shida sana!!!DP World inatisha 2: Tazama bandari inazozihudumia Uingereza
DP World wameunda biashara iliyounganishwa kwa ubora wa hali juu - bandari mbili za kina kirefu zenye vituo vya reli ya mizigo huko London Gateway na Southampton, kituo cha vifaa (logistics park) inayopanuka kwa kasi na biashara ya juu ya programu za software zinazotoa viunganisho vya mtandaoni...www.jamiiforums.com
Endelea kutuelewesha.hatujakuelewa.makasiriko ya nn??link ipi ?!wabongo bhana! Kuelewa shida sana!!!
Tatizo la wabongo hawapendi kuambiwa ukweli, ...unajua kwanini?Endelea kutuelewesha.hatujakuelewa.makasiriko ya nn??link ipi ?!
Naona umeshindwa kujibu hoja umerukia kukata mauno nakutingisha kalio tu,ukianza kunijibu kwa lugha isiyo na staha,usifikiri nitakupokea kwa nyimbo za mapambio,Ulihongwa kiasi gani Ndugu yangu? Mbona povu linakutoka sana na unaongea kwà sauti kubwa kiasi hicho?
Nimekuongelesha kwà sauti ndogo tu Ndugu yangu, ...lakini wewe unaleta sauti kubwa...unaongea kwà kupayuka kujaza nzi. Anyway sio case....Asubuhi njema!
Silaha kubwa ya Serikali ni AMANI. Nimetumia lugha ya Amani kuelezea nilichoandika ili walioko Serikalini endapo wataupitia uzi wangu waweze kujitafakari. Lakini umeniattack kwà kuwa violent.Naona umeshindwa kujibu hoja umerukia kukata mauno nakutingisha kalio tu,ukianza kunijibu kwa lugha isiyo na staha,usifikiri nitakupokea kwa nyimbo za mapambio,
Heading yako inasema Ukweli kuhusu "DP World huu hapa" kwenye content hakuna cha maana ulichokieleza.
Note : Serikali ni watu. Silaha ya Serikali ni AMANI , na silaha ya Watu ni UKWELI.Naona umeshindwa kujibu hoja umerukia kukata mauno nakutingisha kalio tu,ukianza kunijibu kwa lugha isiyo na staha,usifikiri nitakupokea kwa nyimbo za mapambio,
Heading yako inasema "Ukweli kuhusu DP World huu hapa" kwenye content hakuna cha maana ulichokieleza.
Ina maana huoni ulivyo niattack wewe sio? kuniambia ''Ulihongwa kiasi gani?'' kisha ukaniambia ''Unaongea kwa kupayuka kujaza nzi''Silaha kubwa ya Serikali ni AMANI. Nimetumia lugha ya Amani kuelezea nilichoandika ili walioko Serikalini endapo wataupitia uzi wangu waweze kujitafakari. Lakini umeniattack kwà kuwa violent.
Is like nimeinvoke the bad spirits ambazo zimo ndani Yako , ambazo hazipendi kuuona / kuusikia / kuusoma UKWELI.
Nina KICHWA CHA SIHMBHA , sio rahisi kunielewa kwà haraka.Ina maana huoni ulivyo niattack wewe sio? kuniambia ''Ulihongwa kiasi gani?'' kisha ukaniambia ''Unaongea kwa kupayuka kujaza nzi''
Hiyo ndio lugha ya amani uliyoitumia kunijibu sio? hivi uko sawa kichwani kweli? au ulifikiri wewe ulivyo niattack mimi ningekuchekea tu sio?