PreGE2025 Hizi hapa Kanuni za Maadili ya Uchaguzi za Mwaka 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Cute Wife

Platinum Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
3,054
Reaction score
8,449
Wakuu,

Naambatisha hapo chini Kanuni za Maadili ya Uchaguzi za Mwaka 2025 wananchi tujue kweli zina maadili na waliosaini walikuwa na mwili wenye vichwa vinavyowasaidia kufikiria na kupembua vitu au ni kama alivyosema Heche kuwa Kanuni zenyewe hazina maadili!

Screenshot_20250419_091441_Samsung Notes.jpg

​
Pia soma Pre GE2025 - Kanuni za maadili za Tume Ya Uchaguzi: Marufuku kutumia simu kwenye kituo cha kupigia kura
 
Attachments

Wakuu,

Naambatisha hapo chini Kanuni za Maadili ya Uchaguzi za Mwaka 2025 wananchi tujue kweli zina maadili na waliosaini walikuwa na mwili wenye vichwa vinavyowasaidia kufikiria na kupembua vitu au ni kama alivyosema Heche kuwa Kanuni zenyewe hazina maadili!

Pia soma Pre GE2025 - Kanuni za maadili za Tume Ya Uchaguzi: Marufuku kutumia simu kwenye kituo cha kupigia kura
Kwa yoyote aliesoma hizi kanuni, hazina tofauti na mkataba wa unyonyaji.
Ni yale yale
 
Wakuu,

Naambatisha hapo chini Kanuni za Maadili ya Uchaguzi za Mwaka 2025 wananchi tujue kweli zina maadili na waliosaini walikuwa na mwili wenye vichwa vinavyowasaidia kufikiria na kupembua vitu au ni kama alivyosema Heche kuwa Kanuni zenyewe hazina maadili!

Pia soma Pre GE2025 - Kanuni za maadili za Tume Ya Uchaguzi: Marufuku kutumia simu kwenye kituo cha kupigia kura
Kipengele 2.2 kina shida kubwa...kipo kwa akili ya kumlinda aliyoko madarakani hata km kafanya upumbavu.......

Jamani hata MAREKANI ufaransa tumeona namna wanavyopigana vijembe,kebehi na dharau...kwenye chaguzi zao kwa viongozi kushinda katika mambo mengi ya kiutawala

Kiukweli TU usemwe hata home kwenu huwezi kufikisha ujembe kwa uzembe,ubadhirifu,uvivu kwa kucheka Cheka....
 
Kipengele 2.2😃mambo yote yaliyozuiwa ndo maccm huyafanya.na hayachukuliwagi hatua🚮🚮🚮🚮
 
Tume na wole waliosaini akili zao zimeona hauyo ndiyo maadili bora kabisa ya usawa😳😀 🤣🤣🤣🤣
Tume hata ifanye ujinga / upuuzi / wizi gani imehakikisha haiojiwi wala kuipeleka mahakamani hivyo iko juu ya sheria zote za nchi hii na hapo ndipo wizi unapoanzia kushuka hadi kwa watendaji wa vijiji kipindi wameisha geuzwa kuwa maafisa wa tume, then vyama kama ACT kinashangilia lwa kusaini upanga wa kuwamaliza
 
Kipengele 2.2 kina ujinga na upumbavu mwingi kifanyiwe marekebisho...jaman hata Mungu hupingwa kwa namna yoyote hajawawekea masharti ya na namna ya kumpinga.....ila anajua wema wake uko wazi na anao wa kumtetea...ila hichi kipengele kinalea uzembe,uvivu ,ufisadi n.k
 
Wakuu,

Naambatisha hapo chini Kanuni za Maadili ya Uchaguzi za Mwaka 2025 wananchi tujue kweli zina maadili na waliosaini walikuwa na mwili wenye vichwa vinavyowasaidia kufikiria na kupembua vitu au ni kama alivyosema Heche kuwa Kanuni zenyewe hazina maadili!

Pia soma Pre GE2025 - Kanuni za maadili za Tume Ya Uchaguzi: Marufuku kutumia simu kwenye kituo cha kupigia kura
Ni muhimu zaidi,
kanuni, sheria na katiba ya nchi vikazingatiwa kwa usahihi na kila mTanzania kuelekea uchaguzi Mkuu wa kihistoria October 🐒
 
Back
Top Bottom