Amefundishwa na msogazIla Samia ni mnafiki mkubwa sana,
Amefundishwa na msogazIla Samia ni mnafiki mkubwa sana,
Tutaendelea kuchanga tone tone. Kwenye maigizo wao waendelee na maigizo yao.Nilikuwa sijawaelewa CDM kususia na sasa nimewalewa na nitaendelea kuchangia tone tone bila kichoka.
Tuwaonge CDM kupitia tone tone na si vinginevyo
Act ya mzee mwepesi😁😁😁Mtu mwenye akili timamu hawezi kusaini huu upuuzi
Wakuu,
Naambatisha hapo chini Kanuni za Maadili ya Uchaguzi za Mwaka 2025 wananchi tujue kweli zina maadili na waliosaini walikuwa na mwili wenye vichwa vinavyowasaidia kufikiria na kupembua vitu au ni kama alivyosema Heche kuwa Kanuni zenyewe hazina maadili!
Pia soma Pre GE2025 - Kanuni za maadili za Tume Ya Uchaguzi: Marufuku kutumia simu kwenye kituo cha kupigia kura
Wanaoandika maadili wenyewe siyo waadilifu unategemea nini hapoWakuu,
Naambatisha hapo chini Kanuni za Maadili ya Uchaguzi za Mwaka 2025 wananchi tujue kweli zina maadili na waliosaini walikuwa na mwili wenye vichwa vinavyowasaidia kufikiria na kupembua vitu au ni kama alivyosema Heche kuwa Kanuni zenyewe hazina maadili!
Pia soma Pre GE2025 - Kanuni za maadili za Tume Ya Uchaguzi: Marufuku kutumia simu kwenye kituo cha kupigia kura
Kipengele 2.2 kina ujinga na upumbavu mwingi kifanyiwe marekebisho...jaman hata Mungu hupingwa kwa namna yoyote hajawawekea masharti ya na namna ya kumpinga.....ila anajua wema wake uko wazi na anao wa kumtetea...ila hichi kipengele kinalea uzembe,uvivu ,ufisadi n.k