Kwa yoyote aliesoma hizi kanuni, hazina tofauti na mkataba wa unyonyaji.Wakuu,
Naambatisha hapo chini Kanuni za Maadili ya Uchaguzi za Mwaka 2025 wananchi tujue kweli zina maadili na waliosaini walikuwa na mwili wenye vichwa vinavyowasaidia kufikiria na kupembua vitu au ni kama alivyosema Heche kuwa Kanuni zenyewe hazina maadili!
Pia soma Pre GE2025 - Kanuni za maadili za Tume Ya Uchaguzi: Marufuku kutumia simu kwenye kituo cha kupigia kura
CCM hawana aibuNilikuwa sijawaelewa CDM kususia na sasa nimewalewa na nitaendelea kuchangia tone tone bila kichoka.
Tuwaonge CDM kupitia tone tone na si vinginevyo
Document haifunguki?Wakuu,
Naambatisha hapo chini Kanuni za Maadili ya Uchaguzi za Mwaka 2025 wananchi tujue kweli zina maadili na waliosaini walikuwa na mwili wenye vichwa vinavyowasaidia kufikiria na kupembua vitu au ni kama alivyosema Heche kuwa Kanuni zenyewe hazina maadili!
Pia soma Pre GE2025 - Kanuni za maadili za Tume Ya Uchaguzi: Marufuku kutumia simu kwenye kituo cha kupigia kura
Kipengele 2.2 kina shida kubwa...kipo kwa akili ya kumlinda aliyoko madarakani hata km kafanya upumbavu.......Wakuu,
Naambatisha hapo chini Kanuni za Maadili ya Uchaguzi za Mwaka 2025 wananchi tujue kweli zina maadili na waliosaini walikuwa na mwili wenye vichwa vinavyowasaidia kufikiria na kupembua vitu au ni kama alivyosema Heche kuwa Kanuni zenyewe hazina maadili!
Pia soma Pre GE2025 - Kanuni za maadili za Tume Ya Uchaguzi: Marufuku kutumia simu kwenye kituo cha kupigia kura
Ahsante kwa kuziweka in detailsWakuu,
Naambatisha hapo chini Kanuni za Maadili ya Uchaguzi za Mwaka 2025 wananchi tujue kweli zina maadili na waliosaini walikuwa na mwili wenye vichwa vinavyowasaidia kufikiria na kupembua vitu au ni kama alivyosema Heche kuwa Kanuni zenyewe hazina maadili!
Pia soma Pre GE2025 - Kanuni za maadili za Tume Ya Uchaguzi: Marufuku kutumia simu kwenye kituo cha kupigia kura
Ni muhimu zaidi,Wakuu,