PreGE2025 Hizi hapa Kanuni za Maadili ya Uchaguzi za Mwaka 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
ACT ni fisiem B
KAZI ni kipimo cha utu
 


1. NAOMBA KUULIZA,HIVI HIZI KANUNI ZIMESHAANZA KUTUMIKA RASMI? NIMESOMA HAPA SIJAELEWA!!!, NIKIREJEA TANGAZO LA MWENYEKITI KUHUSU CHAMA FULANI!!!

"1.3 Muda wa Kutumika kwa Kanuni za Maadili (Effective Application date)

Kanuni hizi za Maadili zitatumika katika Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025, kuanzia siku moja baada ya tarehe ya uteuzi wa wagombea wa uchaguzi mkuu hadi baada ya kutangazwa kwa matokeo ya uchaguzi huo. Vilevile, Kanuni hizi zitatumika katika chaguzi ndogo zitakazofuata. "


2. NAOMBA KUULIZA TENA, HIZI KANUNI ZIMETUNGWA KUTOKA KWENYE HILE SHERIA AMBAYO INAOMBWA KUFANYIWA "REVIEW/REFORMS" NA WATU FULANI?.KAMA NDIVYO, NADHANI WAMEONA KITU FULANI KILICHOPELEKEA WASIMWAGE WINO NA KAMA SIVYO, BASI HAWA WATU WANAHITAJI ELIMU ILI WAWEZE KUFANYA MAAMUZI SAHIHI.
 
Wanaoandika maadili wenyewe siyo waadilifu unategemea nini hapo
 

Sio kufanyiwa marekebisho ni kufutwa na kutupwa mbali huko watoto wasije kuziokota
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…