President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,781
- 94,550
Kazi kwenu wachawi toka utoporo
Simba imeingia mkataba na BetWay Tanzania ambayo ni kampuni tanzu ya BetWay kama ikivyo kwa Yanga ambao wanadhaminiwa na SportPesa Tanzania ambayo ni kampuni tanzu ya SportPesa.Mpaka Muda huu tunavyoongea ' Unaambiwa' ...
Utopolo wako Nyuma!
- BetWay v/s Sportpesa
- Jezi
- Kante v/s Conte
CrapSimba imeingia mkataba na BetWay Tanzania ambayo ni kampuni tanzu ya BetWay kama ikivyo kwa Yanga ambao wanadhaminiwa na SportPesa Tanzania ambayo ni kampuni tanzu ya SportPesa.
Kwa upande wa chezi design ni nzuri kitu cha hovyo ni kwamba design ni moja kwa chezi zote 3 tofauti ni rangi tu. Na hii inaonesha kwamba zimebuniwa na Diadora Tanzania vilevile hazijatoka Italy na hata zile nyingine hazitstoka Italy kwa sababu ni Watanzania wachache wenye uwezo wa kununua jezi ya kuanzia 100,000.
Kimsingi diadora ni akina vunjabei na sunda waliochngamka msijtape sana
wewe kichaaa siyo chezi ni jersey au jezi. Kuhusu design hata jezi za Real Madrid tofauti ya home kit na away kit ni rangi tu kama ilivyo kwa simba. hizi ni jezi za pre-season tu ndugu yangu lakini ushaanza kutesekaSimba imeingia mkataba na BetWay Tanzania ambayo ni kampuni tanzu ya BetWay kama ikivyo kwa Yanga ambao wanadhaminiwa na SportPesa Tanzania ambayo ni kampuni tanzu ya SportPesa.
Kwa upande wa chezi design ni nzuri kitu cha hovyo ni kwamba design ni moja kwa chezi zote 3 tofauti ni rangi tu. Na hii inaonesha kwamba zimebuniwa na Diadora Tanzania vilevile hazijatoka Italy na hata zile nyingine hazitstoka Italy kwa sababu ni Watanzania wachache wenye uwezo wa kununua jezi ya kuanzia 100,000.
Kimsingi diadora ni akina vunjabei na sunda waliochngamka msijtape sana
Halafu ligi ikianza mnalia liaMpaka Muda huu tunavyoongea ' Unaambiwa' ...
Utopolo wako Nyuma!
- BetWay v/s Sportpesa
- Jezi
- Kante v/s Conte
Ushindi mnono wa simba dhidi ya Yanga ni huu sasa,jezi,usajili,pre season ismailia misri karibu na suez canal, na na kibegi cha jezi,ubaya ubwela huisha mara baada ya lighi kuanza rasmi.
wanayanga wenzangu msifadhaike waacheni makolo watambe kipindi hiki cha jezi,usajili na pre season ila tutawaonyesha uwanjani kuwa sisi ni akina nani.!
😂😂😂 nimeandika kiswahiliwewe kichaaa siyo chezi ni jersey au jezi. Kuhusu design hata jezi za Real Madrid tofauti ya home kit na away kit ni rangi tu kama ilivyo kwa simba. hizi ni jezi za pre-season tu ndugu yangu lakini ushaanza kuteseka
katika lugha ya kiswahili hatulitambui neno Chezi ni Jezi, umeelewa wewe gongowazinimeandika kiswahili
Pole sana
SawaCrap
Makosa ya kiuandishi, uzuri ni kwamba umeelewakatika lugha ya kiswahili hatulitambui neno Chezi ni Jezi, umeelewa wewe gongowazi
Kuna crap umeiweka kule hasa ya designSawa
Iko hivi kwa Tanzania kampuni iliyosajiliwa ni Media Bay Limited ambayo inatumia jina la Biashara la BetWay Tanzania. Kwa hiyo Simba imeingia mkataba na Media Bay Limited ambayo inatumia jina la Betway Tanzania.
Aya jitathmini kwa comment yako
Ni maoni yangu hayawezi na haimaniishi ni sawa au siyo. Uzuri wa kitu ni subjective, ingekuwa bora zaidi kwa kujibu hoja nilizoweka upande wa design kuliko kufanya hitimisho bila hoja.Kuna crap umeiweka kule hasa ya design
Uko sahihi… hasa kwenye kujifanya Tunajua kuliko wengineNi maoni yangu hayawezi na haimaniishi ni sawa au siyo. Uzuri wa kitu ni subjective, ingekuwa bora zaidi kwa kujibu hoja nilizoweka upande wa design kuliko kufanya hitimisho bila hoja.
Sikushangai kwa sababu kwa utamaduni wetu hatujazoea hoja mbadala au hatujui kujibu hoja za watu kistaarbu na bila kujifanya tunajua kuliko wengine.
Asante
😂😂 kuhusu design ni ukweli ambao hutaki kuusikia. Ni hivi, hakuna kitu kitabuniwa Italy, hiyo ni diadora Tanzania. Jezi zinabuniwa bongo na kwenda kufyatuliwa China. Najua Umeaminishwa kuwa Jezi zitabuniwa Italy endelea kuamini hivyo.Uko sahihi… hasa kwenye kujifanya Tunajua kuliko wengine
Ndio maana ukasema hii design ya bongo… ilimradi tu
Unadhani hawakuwaza hayo ya different art work?
Pole but that was crap
Crap😂😂 kuhusu design ni ukweli ambao hutaki kuusikia. Ni hivi, hakuna kitu kitabuniwa Italy, hiyo ni diadora Tanzania. Jezi zinabuniwa bongo na kwenda kufyatuliwa China. Najua Umeaminishwa kuwa Jezi zitabuniwa Italy endelea kuamini hivyo.