Hizi hapa ndizo jezi mpya za simba msimu huu unaoanza 2025

Mpaka Muda huu tunavyoongea ' Unaambiwa' ...

Utopolo wako Nyuma!
  • BetWay v/s Sportpesa
  • Jezi
  • Kante v/s Conte
Simba imeingia mkataba na BetWay Tanzania ambayo ni kampuni tanzu ya BetWay kama ikivyo kwa Yanga ambao wanadhaminiwa na SportPesa Tanzania ambayo ni kampuni tanzu ya SportPesa.

Kwa upande wa Jezi design ni nzuri kitu cha hovyo ni kwamba design ni moja kwa chezi zote 3 tofauti ni rangi tu. Na hii inaonesha kwamba zimebuniwa na Diadora Tanzania vilevile hazijatoka Italy na hata zile nyingine hazitstoka Italy kwa sababu ni Watanzania wachache wenye uwezo wa kununua jezi ya kuanzia 100,000.
Kimsingi diadora ni akina vunjabei na sunda waliochngamka msijtape sana
 
Crap
 
wewe kichaaa siyo chezi ni jersey au jezi. Kuhusu design hata jezi za Real Madrid tofauti ya home kit na away kit ni rangi tu kama ilivyo kwa simba. hizi ni jezi za pre-season tu ndugu yangu lakini ushaanza kuteseka
 
Ushindi mnono wa simba dhidi ya Yanga ni huu sasa,jezi,usajili,pre season ismailia misri karibu na suez canal, na na kibegi cha jezi,ubaya ubwela huisha mara baada ya lighi kuanza rasmi.

wanayanga wenzangu msifadhaike waacheni makolo watambe kipindi hiki cha jezi,usajili na pre season ila tutawaonyesha uwanjani kuwa sisi ni akina nani.!
 
Hata pre season bado mnaenda Kimbiji.?

Hamna kipya Cha kuonyesha uwanjani, tunawajua CAF CL Huwa mnaishia Makundi.!
Huko NBC mwendo wenu ni Wa michongo ya marefa.
 
wewe kichaaa siyo chezi ni jersey au jezi. Kuhusu design hata jezi za Real Madrid tofauti ya home kit na away kit ni rangi tu kama ilivyo kwa simba. hizi ni jezi za pre-season tu ndugu yangu lakini ushaanza kuteseka
😂😂😂 nimeandika kiswahili
Pole sana
 
Sawa
Iko hivi kwa Tanzania kampuni iliyosajiliwa ni Media Bay Limited ambayo inatumia jina la Biashara la BetWay Tanzania. Kwa hiyo Simba imeingia mkataba na Media Bay Limited ambayo inatumia jina la Betway Tanzania.

Aya jitathmini kwa comment yako
 
Kuna crap umeiweka kule hasa ya design
 
Kuna crap umeiweka kule hasa ya design
Ni maoni yangu hayawezi na haimaniishi ni sawa au siyo. Uzuri wa kitu ni subjective, ingekuwa bora zaidi kwa kujibu hoja nilizoweka upande wa design kuliko kufanya hitimisho bila hoja.
Sikushangai kwa sababu kwa utamaduni wetu hatujazoea hoja mbadala au hatujui kujibu hoja za watu kistaarbu na bila kujifanya tunajua kuliko wengine.
Asante
 
Huu ndo wakati wa makolo kufurahi, ligi ikianza utasikia tunajenga timu, mara GSM anatuharibia ligi kwa udhamini wa timu 8, sijui mna matatizo gani
 
Uko sahihi… hasa kwenye kujifanya Tunajua kuliko wengine

Ndio maana ukasema hii design ya bongo… ilimradi tu

Unadhani hawakuwaza hayo ya different art work?

Pole but that was crap
 
Uko sahihi… hasa kwenye kujifanya Tunajua kuliko wengine

Ndio maana ukasema hii design ya bongo… ilimradi tu

Unadhani hawakuwaza hayo ya different art work?

Pole but that was crap
😂😂 kuhusu design ni ukweli ambao hutaki kuusikia. Ni hivi, hakuna kitu kitabuniwa Italy, hiyo ni diadora Tanzania. Jezi zinabuniwa bongo na kwenda kufyatuliwa China. Najua Umeaminishwa kuwa Jezi zitabuniwa Italy endelea kuamini hivyo.
 
Crap
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…