Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,728
- 49,762
Hello!
Afrika imelaaniwa na inazidi kulaaniwa ndio maana iko nyuma ya mabara yote. Afrika ikisogea km 2 mbele mabara mengine yatakuwa yamesogea km 100 mbele.
Kuna vumbuzi zimefanywa miaka 100 iliyopita na Sasa wenzetu wameachana nazo kwamba ni mambo ya kizamani yasiyo kwenda na wakati lakini Waafrika bado hawajagundua.
Mfano , engine za gari moshi zile za kizamani ambazo wenzetu wameshaachana nazo kwasababu za kimazingira na kiuchumi lakini sisi Waafrika bado hatujafikia huko.
Kwanini Afrika imelaaniwa?
1. Kumwabudu nyoka.
Shetani mara kadhaa kwenye Biblia anaitwa nyoka, joka au kajoka. Afrika bado kuna koo , familia na vijiji nyoka ndiye anawaongoza.
2. Viongozi wanapatikana kwa shetani.
Mtu anapokwenda kwa mganga au mchawi na kupewa dawa (uchawi) ili apate uongozi automatically huo uongozi ni WA kiibilisi. Mungu anaulaani.
Afrika viongozi kuanzia ngazi ya chini mpaka juu wengi uongozi wao ni matunda ya shetani. Mungu akalaani uongozi hulaani na eneo zima la uongozi wa huyo kiongozi. Na anaowaongoza pia wanaweza kulaaniwa
wasipoamka na kumrudia Mungu.
3. Dhuluma, rushwa, wizi .
Kiongozi akiingia kwa dhuluma, rushwa au wizi wa kura Mungu hulaani uongozi wake.