[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] Happy new year kwako mjukuu Madam S. 2018 uwe mwaka wa baraka na mafanikio kwako
[emoji120] aamyn thumma amyn my dear babu![emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] Happy new kwako mjukuu Madam S. 2018 uwe mwaka wa baraka na mafanikio kwako
Pamoja sana mjukuu[emoji120] aamyn thumma amyn my dear babu!
Hahahaa asante babuPamoja sana mjukuu
Nianze na wafuatao katika salam za mwaka mpya
Sumbai
Mbalizi1
Mbitiyaza
Emmytta
Kapeace
Demiss
Sakayo
Vldimimir putin(King mswati)
Mwifa
Saint ivuga
Inna
Demi
Na wengine kibao.
2018 ukawe mwaka wa baraka na mafanikio tele
Shukran sana [emoji120] [emoji120]Na kwako pia swahiba. Uwe ni wenye kila la kheri.
[emoji120] [emoji120] [emoji120]
Masaa ndio hayo kabla wazee wa ngindo hamjanyonya, kabla wazee wa moshi hamjapuliza, kabla wazee wa chupi hamjazitoa kwenye viwiliwili vya wahusika katika kusherehekea ujio wa mzee 2018 tutumiane salamu za heri na fanaka kwa mwaka mpya ujao.
Mi naanza na mashabiki wote wa Chelsea na wapenda soka kwa ujumla humu ndani, wale wazee wa imani Kali (Rastafari) wote humu ndani, na wale vijana wa kukaza (si unajua cha mtu kinyesi)
Kwa upande wa mtu mmoja mmoja, nianze na emmyta Kunguru Mjanja Daby Mwana pepsin Pdidy General Galadudu Invisible na wewe mwenyewe unaepita hapa.. Afu tatizo wengine mmebadili na ID.
Ooho, na kwenu warembo wote, maua ya dunia, namaanisha watoto wote wakali..
2018 ije na mafanikio na uwe na nguvu za kutimiza malengo yako.
Happy New Year twin...Ahsante sana Babaangu nimezipata. Nashukuru mno nakuombea kwa upande wako uwe ni mwenye kuumaliza salama mwaka huu 2017 na uwe ni mwenye kuukaribisha mwaka mpya 2018 salama kabisa.
Ubarikiwe sana Babaangu. [emoji120] [emoji120]
[emoji120] [emoji120] [emoji120] shukran sana ..nakutamkia pia kwa jina la yesu huu mwaka ukawe wa baraka,furaha na mafanikio makubwa kwako na familia yakoNianze na wafuatao katika salam za mwaka mpya
Sumbai
Mbalizi1
Mbitiyaza
Emmytta
Kapeace
Demiss
Sakayo
Vldimimir putin(King mswati)
Mwifa
Saint ivuga
Inna
Demi
Na wengine kibao.
2018 ukawe mwaka wa baraka na mafanikio tele
Happy new yr mpendwaa!Aamin yaa Rabbi!!
Heri ya mwaka mpya kwa Bailly5
Heri ya mwaka mpya sumbai wa cute b nawapenda sanaaa
multiphill90, babu yangu mshipa rafiki Saint Ivuga wa Inna
Happy new year Khantwe
Na woooooteee kwa pamoja nawapenda
Same to you Pacha.Happy New Year twin...
nikutakie afya njema tunaanza mwaka 2018.
Na kwako piaaaHappy new yr mpendwaa!
Amina[emoji120] [emoji120] [emoji120][emoji120] [emoji120] [emoji120] shukran sana ..nakutamkia pia kwa jina la yesu huu mwaka ukawe wa baraka,furaha na mafanikio makubwa kwako na familia yako