Hizi hapa salamu za mwaka mpya

Salamu zangu zimfikie /ziwafikie wale wote waliotoa hela za usajili wa rekodi ya dunia na wale waliosajiliwa waungao mkono
 
Salam za heri ya mwaka mpya 2018 kwa jf members wote.

Tutubu wote humu ili tuingie mwakampya tukiwa wasafi wa mioyo.
 
Hahahah kwahiyo wasubirie mvua yenye radi ya kufa mtu
 
Napenda kutuma salamu za mwaka mpya kwa mashabiki wa yanga popote walipo. [emoji460][emoji460]
 
Thank you my wii, hahahahha hapo kwenye ujumbe niemecheka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…