Hizi hapa salamu za mwaka mpya

Kheri ya mwaka mpya kwako mpenzi wangu, Madame S

Uwe mwaka wa Amani na baraka Tele.

Bila kuwasahau sumbai cute b Youngblood mshikaji wangu Shunie Sakayo na marafiki zangu wote humu kheri ya mwaka mpya kwenu
[emoji120][emoji120] Asante sana wapenzi nawatakia mwaka mpya wenye baraka na mafanikio tele tele [emoji8][emoji8]

cute b nimependa hapo wanaume watafutaji ili wawape wapenzi wao na hiko kipengele cha mwisho [emoji3][emoji3]

Napenda kuwatakia heri ya mwaka mpya marafiki wote wa jf nawapenda [emoji7][emoji7]
 
Asante mshikaji wangu,

Kwahiyo umependa hapo tu, tutafute hela then tuwape
 
Napenda kutuma salamu za mwaka mpya kwa mashabiki wa yanga popote walipo. [emoji460][emoji460]
Hahah hahah.. kandambili.. vyura.. mwajuma ndala ndefu, watani bwana wamekalia kisiki cha mpingo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…