Asante my dear na kwako pia [emoji8][emoji8]Happy new year dada
Hahahaha nitamwambiaMwambie asije akaanza kusema wahuni wamemshitua..
Asante mamyAsante my dear na kwako pia [emoji8][emoji8]
Hahaha me namkimbia pia na uzi wake aliouvamiaMwenyewe nawaacha we na babe wako
Hahahahahhahahhah ukipata majibu unishirikishe nitambue honeyHahahaha ndio nafikiria honey
Kipi kilicho kufanya unisahau hapo?Aamin yaa Rabbi!!
Heri ya mwaka mpya kwa Bailly5
Heri ya mwaka mpya sumbai wa cute b nawapenda sanaaa
multiphill90, babu yangu mshipa rafiki Saint Ivuga wa Inna
Happy new year Khantwe
Na woooooteee kwa pamoja nawapenda
Heri ya mwaka Mpya.Same to you Pacha.
Ahsante sana pacha wa mie , nakuombea kwa M'mungu 2018 uwe ni mwenye kuwa wa afya njema, mafanikio tele na kila la kheri.
Natumai uko poa na umzima wa afya.
Asante sana Madamee.Aamin yaa Rabbi!!
Heri ya mwaka mpya kwa Bailly5
Heri ya mwaka mpya sumbai wa cute b nawapenda sanaaa
multiphill90, babu yangu mshipa rafiki Saint Ivuga wa Inna
Happy new year Khantwe
Na woooooteee kwa pamoja nawapenda
Bikra umevuka nayo?He
Heri ya mwaka Mpya.
Amiin mdogo wangu na kwako pia uwe ni wenye kila la kheri.He
Heri ya mwaka Mpya.
shukrani Dada yangu mpendwa
Amyn, atuweke sote inshaalahAsante sana Madamee.
Mungu awe nawe kwa mwaka mzima huu 2018
Hahahaaha hapahapa patosha bwana!Njoo pm uniwish vizuri
Asante sana madame I'm humbled...mwaka mpya mwema na kwako piaAamin yaa Rabbi!!
Heri ya mwaka mpya kwa Bailly5
Heri ya mwaka mpya sumbai wa cute b nawapenda sanaaa
multiphill90, babu yangu mshipa rafiki Saint Ivuga wa Inna
Happy new year Khantwe
Na woooooteee kwa pamoja nawapenda
Happy new year mama, huo ujumbe kwa wanaume nimeupenda sana. Ubarikiwe.Heri ya mwaka mpya 2018
Baba P
My Dada espy
My wiii Madame S
Bailly5
Sakayo
Madame B
Shunie
Manga ML
Heri ya mwaka mpya pia kwa wanaume wote wanaojua kutafuta hela na kuwapa wapenzi wao!!!
Happy new year Jf members wote.
Ujumbe : Kama nilikukwaza 2017 hiyo ilikuwa ni manyunyu tuu 2018 tegemea mvua ya mawe!!
Asante sana rafiki, mdau, mwanafamilia, shost, best, honey.Heri ya mwaka mpya 2018