Hizi hapa salamu za mwaka mpya

Hizi hapa salamu za mwaka mpya

b5-click

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2012
Posts
2,195
Reaction score
2,109
Masaa ndio hayo kabla wazee wa ngindo hamjanyonya, kabla wazee wa moshi hamjapuliza, kabla wazee wa chupi hamjazitoa kwenye viwiliwili vya wahusika katika kusherehekea ujio wa mzee 2018 tutumiane salamu za heri na fanaka kwa mwaka mpya ujao.

Mi naanza na mashabiki wote wa Chelsea na wapenda soka kwa ujumla humu ndani, wale wazee wa imani Kali (Rastafari) wote humu ndani, na wale vijana wa kukaza (si unajua cha mtu kinyesi)

Kwa upande wa mtu mmoja mmoja, nianze na emmyta Kunguru Mjanja Daby Mwana pepsin Pdidy General Galadudu Invisible na wewe mwenyewe unaepita hapa.. Afu tatizo wengine mmebadili na ID.

Ooho, na kwenu warembo wote, maua ya dunia, namaanisha watoto wote wakali..

2018 ije na mafanikio na uwe na nguvu za kutimiza malengo yako.
 
Nianze na wafuatao katika salam za mwaka mpya
Sumbai
Mbalizi1
Mbitiyaza
Emmytta
Kapeace
Demiss
Sakayo
Vldimimir putin(King mswati)
Mwifa
Saint ivuga
Inna
Demi
Na wengine kibao.
2018 ukawe mwaka wa baraka na mafanikio tele
 
Ahsante sana Babaangu nimezipata. Nashukuru mno nakuombea kwa upande wako uwe ni mwenye kuumaliza salama mwaka huu 2017 na uwe ni mwenye kuukaribisha mwaka mpya 2018 salama kabisa.

Ubarikiwe sana Babaangu. [emoji120] [emoji120]
 
Happy New Year twin...
nikutakie afya njema tunaanza mwaka 2018.
 
Nianze na wafuatao katika salam za mwaka mpya
Sumbai
Mbalizi1
Mbitiyaza
Emmytta
Kapeace
Demiss
Sakayo
Vldimimir putin(King mswati)
Mwifa
Saint ivuga
Inna
Demi
Na wengine kibao.
2018 ukawe mwaka wa baraka na mafanikio tele
[emoji120] [emoji120] [emoji120] shukran sana ..nakutamkia pia kwa jina la yesu huu mwaka ukawe wa baraka,furaha na mafanikio makubwa kwako na familia yako
 
Back
Top Bottom