Hizi hapa salamu za mwaka mpya

Hizi hapa salamu za mwaka mpya

Kheri ya mwaka mpya kwako mpenzi wangu, Madame S

Uwe mwaka wa Amani na baraka Tele.

Bila kuwasahau sumbai cute b Youngblood mshikaji wangu Shunie Sakayo na marafiki zangu wote humu kheri ya mwaka mpya kwenu
Heri ya mwaka mpya 2018

Baba P
My Dada espy
My wiii Madame S
Bailly5
Sakayo
Madame B
Shunie
Manga ML
Heri ya mwaka mpya pia kwa wanaume wote wanaojua kutafuta hela na kuwapa wapenzi wao!!!
Happy new year Jf members wote.
Ujumbe : Kama nilikukwaza 2017 hiyo ilikuwa ni manyunyu tuu 2018 tegemea mvua ya mawe!!
[emoji120][emoji120] Asante sana wapenzi nawatakia mwaka mpya wenye baraka na mafanikio tele tele [emoji8][emoji8]

cute b nimependa hapo wanaume watafutaji ili wawape wapenzi wao na hiko kipengele cha mwisho [emoji3][emoji3]

Napenda kuwatakia heri ya mwaka mpya marafiki wote wa jf nawapenda [emoji7][emoji7]
 
Asante mshikaji wangu,

Kwahiyo umependa hapo tu, tutafute hela then tuwape
 
Napenda kutuma salamu za mwaka mpya kwa mashabiki wa yanga popote walipo. [emoji460][emoji460]
Hahah hahah.. kandambili.. vyura.. mwajuma ndala ndefu, watani bwana wamekalia kisiki cha mpingo
 
Back
Top Bottom