Hizi hapa salamu za mwaka mpya

Hizi hapa salamu za mwaka mpya

He

Heri ya mwaka Mpya.
Amiin mdogo wangu na kwako pia uwe ni wenye kila la kheri.

tapatalk_1514529332238.gif
 
Heri ya mwaka mpya 2018

Baba P
My Dada espy
My wiii Madame S
Bailly5
Sakayo
Madame B
Shunie
Manga ML
Heri ya mwaka mpya pia kwa wanaume wote wanaojua kutafuta hela na kuwapa wapenzi wao!!!
Happy new year Jf members wote.
Ujumbe : Kama nilikukwaza 2017 hiyo ilikuwa ni manyunyu tuu 2018 tegemea mvua ya mawe!!
Happy new year mama, huo ujumbe kwa wanaume nimeupenda sana. Ubarikiwe.
 
Heri ya mwaka mpya 2018

Baba P
My Dada espy
My wiii Madame S
Bailly5
Sakayo
Madame B
Shunie
Manga ML
Heri ya mwaka mpya pia kwa wanaume wote wanaojua kutafuta hela na kuwapa wapenzi wao!!!
Happy new year Jf members wote.
Ujumbe : Kama nilikukwaza 2017 hiyo ilikuwa ni manyunyu tuu 2018 tegemea mvua ya mawe!!
Asante sana rafiki, mdau, mwanafamilia, shost, best, honey.
Unajua ukiona mtu anakukumbuka ujue ana upendo.
Nami nakutakia mwaka mpya mwema...japo nimechelewa kukuwish mpenzi....
Mungu akufungulie milango ya baraka.

Asante cute b.
 
Back
Top Bottom