Prince Luanda
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 2,255
- 2,825
Shule hujaenda? "Kutowa" ,"kuondowa" ndio nini?Umeandika matatizo yanayojulikana bila kutowa ushauri wa nini kifanyike kuondowa tatizo. Niliandika na kushauri hivi:
- https://www.jamiiforums.com/threads/ushauri-kwa-serikali-na-huduma-za-jamii-tanzania.2143885/
Unamwandikia Nani. Nchi haiwezi pata ahueni kama kiongozi mkuu nae anapenda hiyo hala halaUmeandika matatizo yanayojulikana bila kutowa ushauri wa nini kifanyike kuondowa tatizo. Niliandika na kushauri hivi:
- https://www.jamiiforums.com/threads/ushauri-kwa-serikali-na-huduma-za-jamii-tanzania.2143885/
Hii ndio namba moja.9. Ardhi eneo la utoaji hati na umilikaji ardhi
Bora ya hao tubukubuku, buku mbili mpaka buku tano haziumizi ingawa anakusanya kwa wengi na anapata nyingi kwa siku. Kuna watu wanapiga rushwa mishindo mpaka unajiuliza huyu ana akili kweli?!Magufuli alisema rushwa ya traffic ni ela ya kupiga viatu rangi. Au ushasahau?
Una haki na mawazo yako.Unamwandikia Nani. Nchi haiwezi pata ahueni kama kiongozi mkuu nae anapenda hiyo hala hala
Sijaenda kusomea ujinga.Shule hujaenda? "Kutowa" ,"kuondowa" ndio nini?
Msimamizi namba moja wa katiba ni Rais.Hiyo kazi JPM aliiweza vizuri sana!Ndio ujinga wetu ulipo hapa, kutegemea MTU badala ya Katiba. Poor Tz
Awamu dhaifu, mama anaupiga mwingi hadi kwenye matope!.
Awamu ya 4 (JK) = Awamu ya 6 (Sa100)
Msimamizi namba moja wa katiba ni Rais.Hiyo kazi JPM aliiweza vizuri sana!
Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
Tuweke ulinzi shirikishi maana polisi walikuwa wanajitahidi sana kutupatia huduma ya ulinzi ila Watz tulivyomafala hatuthamini kwamba wenzetu(polisi) wanahatarisha maisha yao kwa ujira mdogo,sasa mwishowe ndio kama hivi mapolisi wanatususia kiaina ili tuonje joto la jiwe. Huku mtaani mali zetu na uhai wetu havipo salama.Kuhusu vibaka mbezi malamba mawili saa 3 tu usiku vibaka wanavamia nyumba na kupora,hivi vitendo vilishasahaulika ila vimerudi kwa kasi mno!
Ukiwa summoned na Mamlaka husika unaweza kuthibitisha haya?1. Jeshi la Polisi - trafic na CID wanakula vitu vinono. Kila kona ya nchi kuna trafic na wapo radhi kusimama akusanye buku buku akifika jioni apeleke nyama home. Uchunguzi hasa case za kuibiwa vifaa vya electroni hakuna anayechunguza. Mtaani panejaa simu na computer za wizi. Watu wa cyber wapo tu na hivi vifaa ndivyo vinatumika kwenye uhalifu. Rushwa imeifanya nchi iwe damping ya vifaa vya wizi. Watu wanakufa kwa kushambuliwa na wezi au majambazi ila no serious investigation
2. Mahakama: kama Kawa wataalam wanajiita miungu wa Duniani. Karani wa mahakama ana nguvu ya kufuta kesi kabla hakimu au judge ataandika hukumu. Makarani ni viungo wachezaji kwenye game ya kitu kidogo
3. Ofisi ya DPP- hapa anayefikishwa mahakamani ni yule asiye na pesa. Kama una salio jalada lako litaishia mikononi mwa watendaji wa mwamba huyu.
4. Halmashauri - kupitia Tozo mingi watendaji wote wa halmashauri wamegeuka wakusanya mapato kwa opereshini bubu. Wamegoma wafanyabiashara kutumia mifumo ya electronic kupata leseni na kukamilisha huduma bila kwenda ofisini
5. TRA- kodi zimekuwa nyingi na wateja wanasumbuliwa kwa kubambikiwa kodi kuanzia bandarini na sokoni. Wanapitisha mizigo ya magendo mipakani
6. Uhamiaji na Pasipoti; wateja kwa sasa wanasubiri pasipoti mwezi mmoja. Vinginevyo ukate mpunga kwa vishoka waliopo nje ya ofisi zao. Hakuna anayejali uliomba pasipoti lini
7. Hospitali uchakachuaji wa huduma za bima na kuruhusu bima kutumika kinyume cha taratibu
8. Idara za maji- kuunganisha maji na ubambikiaji bills
9. Ardhi eneo la utoaji hati na umilikaji ardhi
10. NIDA kwenye uandikishaji na utoaji kadi