Hizi hela za zamani zina dili gani au ni ushirikina?

brainstorm007

Member
Joined
Feb 11, 2022
Posts
61
Reaction score
68
Wenye ujuzi wa haya mambo tunaombeni elimu
IMG_20251227_122649.jpg
 
Hizo coin sawq kuna njia ya ulozi wanazitumia. Lakin pia kuna namna flan hiv watu wanatumia pesa hizo za zamani kutapeli pesa za sasa toka kwa wengine

Kwa hiyo ni dilikubwa kwa hao watu mm nilijua ni kama trend tu watu walianzisha ya uongo
 
mkuu hizo hela ni dawa kubwa tu huko upande wa giza kuwa zinatumiwa sana na wachawi na waganga wanamix na mavumba mengine na viapo vibaya yaani wanarogwa watu. .wanatumia kufunga riziki za watu,kufunga uchumi,kutia watu nuksi na gundu maana hizo pesa za zamani hazina thamani wala hazitumiki tena na anayerogwa anakusudiwa hivyo hivyo.. kifupi ina matumizi mengi huko ulimwengu wa giza kwa waganga na wachawi wakichanga na madawa mengine wa wanapata kitu heavy..ni kama nguo za marehemu au nywele za mwendawazimu / kichaa ni dili kubwa upande huo.. kwani ww hujawi ona kichaa tu wa mitaani kanyolewa nywele zote kichwani unafikiri wananyolewa na nani kumbe watu ndio washachukua malighafi hiyo..
 
Point taken kiongozi umeongea kwa nafasi ya uelewa zaidi🙏
 
Hazina maajabu yoyote ni story za kutunga tuu
Mana mm najua moja ukipata kiota cha Bundi chenye mayai unakwnda unaweka moja na manuizi. Bundi akiiona atahamisha mayai yake lakin kuna yai moja ataliacha na lina kazi kwenye ishu za upatikanaj wa madini
 
Back
Top Bottom