Abuu Dharr
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 2,910
- 3,024
Kwani Lissu yupo Tanzania Chief!Mkiona watu wanakufa mfululizo halafu na yeye anakimbilia kijijini kwake unganisheni dot...
Kwani Lissu yupo Tanzania Chief!Mkiona watu wanakufa mfululizo halafu na yeye anakimbilia kijijini kwake unganisheni dot...
Chato ni wilaya mpya katika mkoa mpya wa Geita.Geita ni Tanzania.Kwa hyo ni halali kabisa wageni kuenda chato
Kqma ulikuwa kwenye akili yangu mkuu.Ni center za Kufanyia uzinzi!
Mbona una washwa washwa, tulia ukifika wakati wenu mnaweza hamishia ikulu hata mgombani kwenu. inakubalika tuu ili mradi sisi watanzania mtuhakikishie usalama wa rais wetuKwa hyo ni halali kabisa wageni kuenda chato
Wee jamaa acha kupotosha...!!Cha kwanza ni kujua kwamba ikulu ndogo ni za mkuu wa mkoa, lakn yeye anakaa kwake na si ikulu ya mkuu wa mkoa! so kimsingi yuko nje ya taratibu.