Hizi imani za kishirikina imekuwa Changamoto

Ni sawa lakini nd ina maan nijiingize kwenye hayo masuala
Wewe kafanye biashara ndio utajua Una Imani kwa Mungu wa Kweli au Laah maana Hizi Biashara ni kweli zina Uchawi wa Kutosha.

Hapo ni sawa na Migodini tu.. Hakuna Mtu atapenda Ww uwe unawateja Wengi na Mali zako zinatoka Kumzidi yye.. Hata kama Biashara zenu ni Tofauti
 
mkuu ujue over 90% ya watanzania ni waamini wa dini, wanadai wanamwabudu Mungu. Na ujue kati yao hao zaidi ya 75% ni washirikina. siku za ibada wanajaa makanisani, misikitini na kwenye majumba yao ya ibada. Lakini wakibanwa kidogo tu hao mbio kwenda kwa wachawi, hawamkumbuki Mungu.
HII ni kweli 100%....sasa kama wachungaji/manabii waliowengi ni washirikina unategemea nini?Wengi unaowaona wanamtaja Mungu saaaaana huwa ni wanafiki....wanapiga giza kwa sana
 
Watanzania tunaishi kinafiki sana. Dini imekuwa kama fashion tu ila kwenye matatizo yao wanakimbilia kwa masangoma, ila iseme vibaya dini yake anahasira hata kukukata panga wakati ni muumini jina tu hafuati makatazo ya Mungu kuhusu ushirikina . Anaona Mungu anachelewa kujibu maombi na ukimshtukia anarejea maandiko kwa tafsiri potofu ya '' JISAIDIE NAMI NITAKUSAIDIA''
ni hatari sana. walio tayari kusubiri wakati wa Mungu ni wachache sana
 
Nilijenga banda la chips morogoro, mtaa wa ipoipo
Banda lilikua fresh, nikanunua meza moja na viti na friji
Kwa maeneo ya pale Nilipokua, Mimi ndie nilikua na banda zuri
Niliuza kama wiki tu, kilichofuata niliacha banda mbona
Wenzangu wanauza gunia siku moja, wengine mpaka gunia mbili
Mimi gunia nikawa nauza wiki nzima
Nikaona ukhanithi huu, nikaacha.
Uchawi katika biashara zetu ni kama tako na chupi mkuu, jipange.
 
Ufalme wa Mungu unatekwa na wenye nguvu.
If you're weak stay away from those areas.
Ila kama una Mungu wako+ Uchapa kazi+ udhoefu wa biashara= I GUARANTEE SUCCESS
 
Nilijenga banda la chips morogoro, mtaa wa ipoipo
Banda lilikua fresh, nikanunua meza moja na viti na friji
Kwa maeneo ya pale Nilipokua, Mimi ndie nilikua na banda zuri
Niliuza kama wiki tu, kilichofuata niliacha banda mbona
Wenzangu wanauza gunia siku moja, wengine mpaka gunia mbili
Mimi gunia nikawa nauza wiki nzima
Nikaona ukhanithi huu, nikaacha.
Uchawi katika biashara zetu ni kama tako na chupi mkuu, jipange.
Duuuh!!! [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] pole sana ndugu,
Hii hali inatisha
 
Sina uhakika sana na wala sio wa muumini wa hivi vitu ila kama itakuwa kweli basi hizi imani zimekuwa changamoto sana hapa dsm

Nilikuwa katika harakati zangu za kutafuta fremu kwa ajili ya biashara na nikapata baadhi, kitu cha ajabu nilipokuwa nikiulizia kuhusiana na baadhi ya hizo fremu kwa watu wa karibu niliambiwa kuwa ili nifanye biashara hapo inabidi niwe mzito kwa mambo ya kishirikina la sivyo sitaweza, maana waliotoka nao walishindwa kutokana na kutojipanga kishirikina kwani hilo eneo si la kitoto

Fremu nyingine naambiwa hata kama nitapanga basi kazi bure maana mtaa huo ni wahuni ukifanya biashara hela yote wanachukua wakulungwa kwa hiyo lazima ujipange kisawa sawa

Najaribu kuwaambia kuwa imani yangu ni kwa mungu na naamini kwenye dua lakini jamaa wamekuwa wagumu kunisisitiza kuwa kujipanga kishirikina ni muhimu kwani waliotoka na kula hasara walikuwa ni kama mimi

Nabaki nachoka sana huku nikijiuliza inakuwaje haya masuala, au mimi nd mjinga wenzangu wote wanaofanya biashara wanatumia ushirikina!!??

Sijaelewa haya mambo mpaka naanza kuogopa sasa hili jiji lipoje

Nilijenga banda la chips morogoro, mtaa wa ipoipo
Banda lilikua fresh, nikanunua meza moja na viti na friji
Kwa maeneo ya pale Nilipokua, Mimi ndie nilikua na banda zuri
Niliuza kama wiki tu, kilichofuata niliacha banda mbona
Wenzangu wanauza gunia siku moja, wengine mpaka gunia mbili
Mimi gunia nikawa nauza wiki nzima
Nikaona ukhanithi huu, nikaacha.
Uchawi katika biashara zetu ni kama tako na chupi mkuu, jipange.

Kwenye ulimwengu huu kuna nguvu mbili zinazofanya kazi kwa walioambatana nazo; nguvu ya giza na nguvu ya nuru

Na Kufanikiwa jambo lolote kwenye ulimwengu huu lazima uwe na nguvu ila kudumu na kuwa na furaha kwenye mafanikio lazima uwe na nguvu ya nuru iliyo kuu kuliko Ile nguvu ya giza

Kama unamuamini Mungu na una uhakika unaishi kwenye maelekezo yake wewe chukua frame fanya biashara
 
Sina uhakika sana na wala sio wa muumini wa hivi vitu ila kama itakuwa kweli basi hizi imani zimekuwa changamoto sana hapa dsm

Nilikuwa katika harakati zangu za kutafuta fremu kwa ajili ya biashara na nikapata baadhi, kitu cha ajabu nilipokuwa nikiulizia kuhusiana na baadhi ya hizo fremu kwa watu wa karibu niliambiwa kuwa ili nifanye biashara hapo inabidi niwe mzito kwa mambo ya kishirikina la sivyo sitaweza, maana waliotoka nao walishindwa kutokana na kutojipanga kishirikina kwani hilo eneo si la kitoto

Fremu nyingine naambiwa hata kama nitapanga basi kazi bure maana mtaa huo ni wahuni ukifanya biashara hela yote wanachukua wakulungwa kwa hiyo lazima ujipange kisawa sawa

Najaribu kuwaambia kuwa imani yangu ni kwa mungu na naamini kwenye dua lakini jamaa wamekuwa wagumu kunisisitiza kuwa kujipanga kishirikina ni muhimu kwani waliotoka na kula hasara walikuwa ni kama mimi

Nabaki nachoka sana huku nikijiuliza inakuwaje haya masuala, au mimi nd mjinga wenzangu wote wanaofanya biashara wanatumia ushirikina!!??

Sijaelewa haya mambo mpaka naanza kuogopa sasa hili jiji lipoje
Kwenye biashara kuna mengi ili uweze kufanikiwa
Location
Aina ya biashara
Kundi tarajiwa la wateja
Aina ya bidhaa
Nidhamu
Mtaji
Customer care
Kwenye hayo mambo saba ukifeli tu yoyote matatu kati ya hayo lazima biadhara iyumbe

Ishu za ushirikina kwenye biashara zipo sana lakini si kwenye biashara mpya inayoanza na isiyi na mpinzani

Kama kweli ikitokea hivyo kwamba kuna eneo linasemwa vibaya basi hapo tatizo sio wachawi bali ni mmiliki, maagano ya eneo husika, kunenewa vibaya. Ama palizikwa vitu vibaya kwa makusudi au bahati mbaya

Zaidi ni kwamba kwenye hizi fremu za biashara kama mmiliki alichanganya na mambo ya kishirikina hapo lazima kuna fremu moja itakuwa ni ya kafara

Hata hivyo hizi ishu kwa sehemu kubwa ni uzushi na kutiana woga lakini ikitokea ni kweli unazifubaza kwa kutumia tiba yetu ile ya chumvi
 
mkuu ujue over 90% ya watanzania ni waamini wa dini, wanadai wanamwabudu Mungu. Na ujue kati yao hao zaidi ya 75% ni washirikina. siku za ibada wanajaa makanisani, misikitini na kwenye majumba yao ya ibada. Lakini wakibanwa kidogo tu hao mbio kwenda kwa wachawi, hawamkumbuki Mungu.
Ukiona hivyo ujue fika mungu wa waarabu na wazungu sio mungu wao bali walilazimishwa tu.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom