Bsyotyo
JF-Expert Member
- Apr 20, 2022
- 617
- 996
Wewe kafanye biashara ndio utajua Una Imani kwa Mungu wa Kweli au Laah maana Hizi Biashara ni kweli zina Uchawi wa Kutosha.Ni sawa lakini nd ina maan nijiingize kwenye hayo masuala
Hapo ni sawa na Migodini tu.. Hakuna Mtu atapenda Ww uwe unawateja Wengi na Mali zako zinatoka Kumzidi yye.. Hata kama Biashara zenu ni Tofauti