Kitaja
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 2,836
- 1,382
Bado hata ikiwa 15m halafu utegemee faida 1m kwa mwaka ni hasara kubwa. Labda kama una pesa isiyo na kaziHisa za Crdb hushuka mpaka tsh 150 kwa hisa, 150 zidisha lak 1 ni milioni 15. Si milion 200.