Hizi kampuni za simu zinaona wateja mazuzu

Candela

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2021
Posts
817
Reaction score
2,180
Tukiongelea Iphone huwa anatangaza new features ambazo Samsung wanazo 5 years back lakini utashangaa watumia iPhone wanajimwambafai na hizo features.

Ukija Samsung wanatrendisha features za Google pixel ambazo watumiaji wa pixel wanazo 2 years back. Yaani S24 ultra inatangaza features za pixel 6 ambayo haziko on par kwa market trend.

Kuna tatizo mahali sio bure.
 
Tukiongelea Iphone huwa anatangaza new features ambazo Samsung wanazo 5 years back lakini utashangaa watumia iPhone wanaji mwambafai na hizo features.

Ukija Samsung wanatrendisha features za Google pixel ambazo watumiaji wa pixel wanazo 2 years back. Yaani S24 ultra inatangaza features za pixel 6 ambayo haziko on par kwa market trend.
Kuna tatizo mahali sio bure.
Labda hutumii simu vizuri.
Wakati samsung wanatoa finger print ilikuwa inatumia muda mrefu au inakulazimisha utumie njia wanayotaka wao. iphone alipotoa finger print ni kama una touch vile.

Ikaja face ID kwa samsung yaani ukipaka wanja tu inakukataa wakaja iphone yani mteremko.

Tuje swala la security hizo samsung ukiibiwa ni rahisi kubadilisha kama ubwabwa haijalishi imetoka lini na mfumo huu ni CPID ILA IPHONE NI NGUMU NA SERVER ZAO SI RAHISI KAMA NI MALI YAKO
 
Tukiongelea Iphone huwa anatangaza new features ambazo Samsung wanazo 5 years back lakini utashangaa watumia iPhone wanajimwambafai na hizo features.

Ukija Samsung wanatrendisha features za Google pixel ambazo watumiaji wa pixel wanazo 2 years back. Yaani S24 ultra inatangaza features za pixel 6 ambayo haziko on par kwa market trend.

Kuna tatizo mahali sio bure.
kubaliana na jamii
hasa suala la personality na biashara inavyo trend, nawe shikamana
utajiumiza tu bure kupinga iphone kitu cha macho matatu
 
Labda hutumii simu vizuri.
Wakati samsung wanatoa finger print ilikuwa inatumia muda mrefu au inakulazimisha utumie njia wanayotaka wao. iphone alipotoa finger print ni kama una touch vile.

Ikaja face ID kwa samsung yaani ukipaka wanja tu inakukataa wakaja iphone yani mteremko.

Tuje swala la security hizo samsung ukiibiwa ni rahisi kubadilisha kama ubwabwa haijalishi imetoka lini na mfumo huu ni CPID ILA IPHONE NI NGUMU NA SERVER ZAO SI RAHISI KAMA NI MALI YAKO
Iphone zinaibwa na ikiibiwa tu wanazichinja kwa ajili ya spare part
 
Wakati samsung wanatoa finger print ilikuwa inatumia muda mrefu au inakulazimisha utumie njia wanayotaka wao. iphone alipotoa finger print ni kama una touch vile.
Nyie ndio mlipata zero mkalaumu wasahishaji kumbe umejibu maswali uliyotingenezea kichwani badala ya yaliyo kwenye mtihani, elewa maada.
 
USIFANANISHE GARI YA MWAKA 1884 NA MWAKA 2030 JAPO NYUMA ILIKUWA GARI WEWE MTOTO WA 2000
 
Back
Top Bottom