Labda hutumii simu vizuri.Tukiongelea Iphone huwa anatangaza new features ambazo Samsung wanazo 5 years back lakini utashangaa watumia iPhone wanaji mwambafai na hizo features.
Ukija Samsung wanatrendisha features za Google pixel ambazo watumiaji wa pixel wanazo 2 years back. Yaani S24 ultra inatangaza features za pixel 6 ambayo haziko on par kwa market trend.
Kuna tatizo mahali sio bure.
kubaliana na jamiiTukiongelea Iphone huwa anatangaza new features ambazo Samsung wanazo 5 years back lakini utashangaa watumia iPhone wanajimwambafai na hizo features.
Ukija Samsung wanatrendisha features za Google pixel ambazo watumiaji wa pixel wanazo 2 years back. Yaani S24 ultra inatangaza features za pixel 6 ambayo haziko on par kwa market trend.
Kuna tatizo mahali sio bure.
Iphone zinaibwa na ikiibiwa tu wanazichinja kwa ajili ya spare partLabda hutumii simu vizuri.
Wakati samsung wanatoa finger print ilikuwa inatumia muda mrefu au inakulazimisha utumie njia wanayotaka wao. iphone alipotoa finger print ni kama una touch vile.
Ikaja face ID kwa samsung yaani ukipaka wanja tu inakukataa wakaja iphone yani mteremko.
Tuje swala la security hizo samsung ukiibiwa ni rahisi kubadilisha kama ubwabwa haijalishi imetoka lini na mfumo huu ni CPID ILA IPHONE NI NGUMU NA SERVER ZAO SI RAHISI KAMA NI MALI YAKO
Nyie ndio mlipata zero mkalaumu wasahishaji kumbe umejibu maswali uliyotingenezea kichwani badala ya yaliyo kwenye mtihani, elewa maada.Wakati samsung wanatoa finger print ilikuwa inatumia muda mrefu au inakulazimisha utumie njia wanayotaka wao. iphone alipotoa finger print ni kama una touch vile.
USIFANANISHE GARI YA MWAKA 1884 NA MWAKA 2030 JAPO NYUMA ILIKUWA GARI WEWE MTOTO WA 2000Nyie ndio mlipata zero mkalaumu wasahishaji kumbe umejibu maswali uliyotingenezea kichwani badala ya yaliyo kwenye mtihani, elewa maada.