Hizi kauli za Ulaya maisha magumu zinatafsiriwa vibaya

Tatizo la watumwa ,akili ziko mbali na uelewa ..Umeshasema kima cha chini Around mil 5..ukisave mil 3 kwa muda gani utapata pesa ya kununua angalau kiwanja ?

Bado una maisha magumu kwa huko ila sio bongo ,jaribu kufananisha hiyo pesa unasavw ukiwa wapi ? Thamani yake kwa wapi?

Wewe uko huko basi tuonesha hata Nyumba yako au kiwanja ...
 
Unawaza kiwanja?
Sasa akiwa na ml 3 si tayar hata akienda kibaha anapata kiwanja mzee
 
…hizi kauli za “Ulaya maisha ni magumu” “makodi ni mengi”, zimekuwa zikitafsiriwa vibaya sana na baadhi ya watu huko Ukimani na wengine makima waliopo hapa hapa Ulaya (wasiokuwa na kazi wala wasiokuwa kwenye system)…

Leo nataka niliweke sawa jambo hili, then tuangalie huo ugumu wa maisha ni upi… Uzi ni mrefu kidogo, soma taratibu!… 👇🏾👇🏾👇🏾

Nitaizungumzia Ufaransa 🇫🇷 yangu, nchi ninayoijua vizuri sana kuliko zote Ulaya…

Ufaransa 🇫🇷 ni moja ya nchi zenye mishahara midogo tofauti na nchi nyingi hapa Magharibi… Hii sio tafsiri kwamba Ufaransa 🇫🇷 ni nchi masikini, hapana… Ufaransa 🇫🇷 mishahara yetu ni midogo kwa sababu kodi zetu pia ni ndogo lakini kubwa zaidi, tuna social welfare system bora kuliko zote Duniani…

Hiyo “social welfare system” ni mfumo wa ustawi wa jamii… Huko ndio kuna lile fuko la posho kwa wananchi…

Kodi zote za serikali kwenye mshahara wa mfanyakazi kwa mwezi, ni asilimia 25…

Tuzungumzie mwananchi/ mfanyakazi mwenye kipato cha chini… Mwananchi huyu, tumpe jina la JUMA…

Kima cha chini cha mshahara nchini Ufaransa 🇫🇷 ni Euro 1,850 sawa na shilingi za Tanzania 🇹🇿 5,550,000… Kumbuka, hapo ni kabla ya makato ya serikali…

Makato ni asilimia 25 ya kipato hicho… Asilimia 25 ya € 1,850 ni € 462.5 sawa na 1,387,500 TZS… Hizo zinakatwa lakini haziendi mbali sana… Zinarudi kwa Juma katika huduma zake mbali mbali: afya, elimu, mafao, etc…

Baada ya makato hayo, Juma anawekewa € 1,387.5 kwenye account yake, sawa na shilingi 4,162,500…

Gharama kubwa PEKEE inayowaumiza watu vichwa Barani hapa, ni kodi ya nyumba… Kodi ni kubwa katika miji mikubwa kama Paris, Marseille, Lyon… na kodi ni ndogo katika miji midogo na vijiji…

Lakini vile vile, sio kila mwananchi anajilipia kodi ya nyumba mwenyewe… Serikalini kule kwenye “social welfare system” kuna asilimia kadhaa za kodi ya nyumba kwa kila mwananchi aliyetimiza vigezo na masharti…

Tumjadili Juma wa Paris (kwenye kodi kubwa) ambaye hajatimiza vigezo na anatakiwa kujilipia kodi ya nyumba/ chumba mwenyewe, kwa asilimia zote…

Juma akiwa na familia, ni ngumu, lakini akiwa single, anaweza kushea kodi na washkaji zake… Vijana wengi hapa, hukodi nyumba nzima, vijana watatu kwa mfano, halafu wanachangia kulipa kodi…

Kodi katika miji mikubwa kama Paris, huanzia kwenye € 600… Juma na washikaji zake; kila mmoja anachangia € 200 kwa mwezi (kama laki 6 TZS)…

Nikisema kodi ya nyumba, hapo namaanisha gharama zote za ndani ya nyumba: umeme, maji na gesi na ndani ya nyumba hiyo, kunakuwepo vitanda, magodoro, makochi, jiko, vyombo, etc… Juma atahamia na begi lake la nguo tu…

Juma aliyepokea mshahara wake € 1,387.5 anajikuta analipia € 200 ya nyumba na kubaki na € 1,187.5 sawa na shilingi 3,562,500…

Kumbuka, kabla ya kuwekewa mshahara wake kwenye account, Juma alikatwa asilimia 25 ya kipato chake, nikasema makato hayo hayaendi mbali, yanaenda kwenye matibabu yake, elimu ya watoto akija kuwapata, mafao yake akistaafu na huduma nyengine za kijamii…

Kumbe suala la afya, sio tatizo kwa Juma maana akiumwa, atatibiwa bure!…

Lakini Juma haitaji kutibiwa tu… Anahitaji kula na kuvaa…

Kama kuna vitu rahisi kupata hapa Ulaya, ni mavazi na chakula… Juma akitaka kwenda kuemea chakula, ni maamuzi yake, akitaka kwenda kuchukua chakula bure, ni maamuzi yake pia…

Juma akitaka kwenda kufanya shopping ya nguo nzuri, kali, quality, zenye gharama kubwa Italy 🇮🇹 ni maamuzi yake na akitaka kwenda kuchukua nguo za mitumba hapa hapa France, bure, ataamua nwenyewe…

Tuseme Juma ni Mtanzania/ Mpare/ bahili, kutoka familia masikini huko Upareni 🇹🇿, kaja Ulaya kutafuta, sio kula bata na hataki kabisa show off za kwenda kununua nguo Italy 🇮🇹 (nchi namba moja yenye mavazi bora Ulaya na labda Duniani)…

Juma anaamua kwenda kuchukua chakula cha bure (mchele, maharage, mafuta, kuku wa broiler, nyanya, vitunguu, etc…) na nguo za mitumba bure… Hayo mashirika yanayogawa bure hayo ma vitu, yapo kila kona ya nchi…

Mpaka sasa, account ya Juma bado inasoma shiling Milioni 3.5 na ushee…

Lakini Juma lazima awe na mawasiliano na ndugu zake Bongo… Kama kijana, lazima naye ajue kinachoendelea nchini kwake… Kumbe lazima alipie simu yake kila mwezi… Malipo ya simu hapa inajumlisha muda wa maongezi, sms na Internet bila kikomo, kwa Euro 10, sawa na shilingi 30,000…

Juma lazima pia awe na kadi ya usafiri inayofanya kazi kwenye mwendokasi na treni… Ni Euro almost 30, kila mwezi…

Heee!… Zimepungua Euro 40 kule kwenye account ya Juma… Sasa zimebaki euro 1,147.5 sawa na shilingi 3,442,500…

Kwa haraka haraka, baada ya yote hayo, sioni gharama nyengine itakayomkabili Juma…🤔

Juma hana gari, bima ya gari haimhusu… Juma ni Muislam safi kabisa, swala 5… Mambo ya kwenda Klabu, kunywa pombe, kununua machangudoa, hayo sio mapigo yake…

Juma hana demu Paris… Anaogopa gharama, kama Hakimi… Maisha ya Juma ni kazini, msikitini na nyumbani…

Kumbe Juma, kila mwezi, anao uwezo wa ku-save zaidi ya shilingi Milioni 3 za Tanzania 🇹🇿…

Ni Watanzania wangapi wenye uwezo huo hapo Tanzania 🇹🇿? 😁🤷🏾

Huo ugumu wa maisha Ulaya ndio ugumu upi huo? Ugumu wa kusevu shilingi Milioni 3 kila mwezi? 😁🤷🏾
We bwege nani kakuomba huu uchafu wako. We endelea kubeba mabox na kuliwa tg hakuna mwenye tm na maisha yenu. We mwenyewe wanakuita kima ndio uite nchi yetu ukimani. Umepotea kenge we
 
Kwahiyo sisi tuliopo bongo tupo ukimani? 😹😹
Sasa hapo tofauti iko wapi km na nyie mnavaa mitumba ya msaada??
Si bora sisi tunanunua 🤣
Huyo mbwa hana lolote ana stress kutudi hawezi huko France maisha yamempiga akaone aje atapike nyongo humu
 
Mimi na siasa ni mbali ,onesha kiwanja au nyumba yako huko ughaibuni.

Zaidi ni kuvaa makoti makubwa kama bodaboda na kushangaa maghorofa.
Hiyo ni kweli,mimi nazungumzia bongo we jamaa.viwanja Paris vya nini,huko ni kusaka fekeche
 
Sasa elewa mantiki ,wanaoishi huko wana maisha ya kawaida wala hawatishi ...Wapo tu kwa uchumi wa huko ..
 
Wewe mbona mbishi,watu wako kule kuzisaka wawekeze huku bongo.wewe unakazana tu ili ionekane hamna wanachofanya
 
…hizi kauli za “Ulaya maisha ni magumu” “makodi ni mengi”, zimekuwa zikitafsiriwa vibaya sana na baadhi ya watu huko Ukimani na wengine makima waliopo hapa hapa Ulaya (wasiokuwa na kazi wala wasiokuwa kwenye system)…

Leo nataka niliweke sawa jambo hili, then tuangalie huo ugumu wa maisha ni upi… Uzi ni mrefu kidogo, soma taratibu!… 👇🏾👇🏾👇🏾

Nitaizungumzia Ufaransa 🇫🇷 yangu, nchi ninayoijua vizuri sana kuliko zote Ulaya…

Ufaransa 🇫🇷 ni moja ya nchi zenye mishahara midogo tofauti na nchi nyingi hapa Magharibi… Hii sio tafsiri kwamba Ufaransa 🇫🇷 ni nchi masikini, hapana… Ufaransa 🇫🇷 mishahara yetu ni midogo kwa sababu kodi zetu pia ni ndogo lakini kubwa zaidi, tuna social welfare system bora kuliko zote Duniani…

Hiyo “social welfare system” ni mfumo wa ustawi wa jamii… Huko ndio kuna lile fuko la posho kwa wananchi…

Kodi zote za serikali kwenye mshahara wa mfanyakazi kwa mwezi, ni asilimia 25…

Tuzungumzie mwananchi/ mfanyakazi mwenye kipato cha chini… Mwananchi huyu, tumpe jina la JUMA…

Kima cha chini cha mshahara nchini Ufaransa 🇫🇷 ni Euro 1,850 sawa na shilingi za Tanzania 🇹🇿 5,550,000… Kumbuka, hapo ni kabla ya makato ya serikali…

Makato ni asilimia 25 ya kipato hicho… Asilimia 25 ya € 1,850 ni € 462.5 sawa na 1,387,500 TZS… Hizo zinakatwa lakini haziendi mbali sana… Zinarudi kwa Juma katika huduma zake mbali mbali: afya, elimu, mafao, etc…

Baada ya makato hayo, Juma anawekewa € 1,387.5 kwenye account yake, sawa na shilingi 4,162,500…

Gharama kubwa PEKEE inayowaumiza watu vichwa Barani hapa, ni kodi ya nyumba… Kodi ni kubwa katika miji mikubwa kama Paris, Marseille, Lyon… na kodi ni ndogo katika miji midogo na vijiji…

Lakini vile vile, sio kila mwananchi anajilipia kodi ya nyumba mwenyewe… Serikalini kule kwenye “social welfare system” kuna asilimia kadhaa za kodi ya nyumba kwa kila mwananchi aliyetimiza vigezo na masharti…

Tumjadili Juma wa Paris (kwenye kodi kubwa) ambaye hajatimiza vigezo na anatakiwa kujilipia kodi ya nyumba/ chumba mwenyewe, kwa asilimia zote…

Juma akiwa na familia, ni ngumu, lakini akiwa single, anaweza kushea kodi na washkaji zake… Vijana wengi hapa, hukodi nyumba nzima, vijana watatu kwa mfano, halafu wanachangia kulipa kodi…

Kodi katika miji mikubwa kama Paris, huanzia kwenye € 600… Juma na washikaji zake; kila mmoja anachangia € 200 kwa mwezi (kama laki 6 TZS)…

Nikisema kodi ya nyumba, hapo namaanisha gharama zote za ndani ya nyumba: umeme, maji na gesi na ndani ya nyumba hiyo, kunakuwepo vitanda, magodoro, makochi, jiko, vyombo, etc… Juma atahamia na begi lake la nguo tu…

Juma aliyepokea mshahara wake € 1,387.5 anajikuta analipia € 200 ya nyumba na kubaki na € 1,187.5 sawa na shilingi 3,562,500…

Kumbuka, kabla ya kuwekewa mshahara wake kwenye account, Juma alikatwa asilimia 25 ya kipato chake, nikasema makato hayo hayaendi mbali, yanaenda kwenye matibabu yake, elimu ya watoto akija kuwapata, mafao yake akistaafu na huduma nyengine za kijamii…

Kumbe suala la afya, sio tatizo kwa Juma maana akiumwa, atatibiwa bure!…

Lakini Juma haitaji kutibiwa tu… Anahitaji kula na kuvaa…

Kama kuna vitu rahisi kupata hapa Ulaya, ni mavazi na chakula… Juma akitaka kwenda kuemea chakula, ni maamuzi yake, akitaka kwenda kuchukua chakula bure, ni maamuzi yake pia…

Juma akitaka kwenda kufanya shopping ya nguo nzuri, kali, quality, zenye gharama kubwa Italy 🇮🇹 ni maamuzi yake na akitaka kwenda kuchukua nguo za mitumba hapa hapa France, bure, ataamua nwenyewe…

Tuseme Juma ni Mtanzania/ Mpare/ bahili, kutoka familia masikini huko Upareni 🇹🇿, kaja Ulaya kutafuta, sio kula bata na hataki kabisa show off za kwenda kununua nguo Italy 🇮🇹 (nchi namba moja yenye mavazi bora Ulaya na labda Duniani)…

Juma anaamua kwenda kuchukua chakula cha bure (mchele, maharage, mafuta, kuku wa broiler, nyanya, vitunguu, etc…) na nguo za mitumba bure… Hayo mashirika yanayogawa bure hayo ma vitu, yapo kila kona ya nchi…

Mpaka sasa, account ya Juma bado inasoma shiling Milioni 3.5 na ushee…

Lakini Juma lazima awe na mawasiliano na ndugu zake Bongo… Kama kijana, lazima naye ajue kinachoendelea nchini kwake… Kumbe lazima alipie simu yake kila mwezi… Malipo ya simu hapa inajumlisha muda wa maongezi, sms na Internet bila kikomo, kwa Euro 10, sawa na shilingi 30,000…

Juma lazima pia awe na kadi ya usafiri inayofanya kazi kwenye mwendokasi na treni… Ni Euro almost 30, kila mwezi…

Heee!… Zimepungua Euro 40 kule kwenye account ya Juma… Sasa zimebaki euro 1,147.5 sawa na shilingi 3,442,500…

Kwa haraka haraka, baada ya yote hayo, sioni gharama nyengine itakayomkabili Juma…🤔

Juma hana gari, bima ya gari haimhusu… Juma ni Muislam safi kabisa, swala 5… Mambo ya kwenda Klabu, kunywa pombe, kununua machangudoa, hayo sio mapigo yake…

Juma hana demu Paris… Anaogopa gharama, kama Hakimi… Maisha ya Juma ni kazini, msikitini na nyumbani…

Kumbe Juma, kila mwezi, anao uwezo wa ku-save zaidi ya shilingi Milioni 3 za Tanzania 🇹🇿…

Ni Watanzania wangapi wenye uwezo huo hapo Tanzania 🇹🇿? 😁🤷🏾

Huo ugumu wa maisha Ulaya ndio ugumu upi huo? Ugumu wa kusevu shilingi Milioni 3 kila mwezi? 😁🤷🏾
Ni kazi zipi hizo za milioni 3, ambazo mhamiani anweza kufanya?

Hapa unazungumzia kazi then urudi Bongo au kuishi huko?

Kama kuishi huko, hao watu manoshea nao Kodi utaishi nao siku zote??
 
Kuna mtu niliwahi mwambia nitakutumia OMR 100 ya soda,akadharau, ila siku nilomtumia kidogo apagawe baada ya kujua akichange kwa tsh itakuwa ngap.
 
Hata huko ni ukimani tu, tena mnakunya vinyesi vigumu sana
 
Na mdogo wangu hapa anaitwa Juma na ni dereva bodaboda yeye kila uchao geto kwako unawageni wapya
 
Back
Top Bottom