Hizi kauli za Ulaya maisha magumu zinatafsiriwa vibaya

Tatizo la watumwa ,akili ziko mbali na uelewa ..Umeshasema kima cha chini Around mil 5..ukisave mil 3 kwa muda gani utapata pesa ya kununua angalau kiwanja ?

Bado una maisha magumu kwa huko ila sio bongo ,jaribu kufananisha hiyo pesa unasavw ukiwa wapi ? Thamani yake kwa wapi?


Wewe uko huko basi tuonesha hata Nyumba yako au kiwanja ...
 
Unawaza kiwanja?
Sasa akiwa na ml 3 si tayar hata akienda kibaha anapata kiwanja mzee
 
We bwege nani kakuomba huu uchafu wako. We endelea kubeba mabox na kuliwa tg hakuna mwenye tm na maisha yenu. We mwenyewe wanakuita kima ndio uite nchi yetu ukimani. Umepotea kenge we
 
Kwahiyo sisi tuliopo bongo tupo ukimani? 😹😹
Sasa hapo tofauti iko wapi km na nyie mnavaa mitumba ya msaada??
Si bora sisi tunanunua 🤣
Huyo mbwa hana lolote ana stress kutudi hawezi huko France maisha yamempiga akaone aje atapike nyongo humu
 
Wewe omba mchongo usogee mamtoni uachane na chadema
Mimi na siasa ni mbali ,onesha kiwanja au nyumba yako huko ughaibuni.

Zaidi ni kuvaa makoti makubwa kama bodaboda na kushangaa maghorofa.
 
Mimi na siasa ni mbali ,onesha kiwanja au nyumba yako huko ughaibuni.

Zaidi ni kuvaa makoti makubwa kama bodaboda na kushangaa maghorofa.
Hiyo ni kweli,mimi nazungumzia bongo we jamaa.viwanja Paris vya nini,huko ni kusaka fekeche
 
Hiyo ni kweli,mimi nazungumzia bongo we jamaa.viwanja Paris vya nini,huko ni kusaka fekeche
Sasa elewa mantiki ,wanaoishi huko wana maisha ya kawaida wala hawatishi ...Wapo tu kwa uchumi wa huko ..
 
Sasa elewa mantiki ,wanaoishi huko wana maisha ya kawaida wala hawatishi ...Wapo tu kwa uchumi wa huko ..
Wewe mbona mbishi,watu wako kule kuzisaka wawekeze huku bongo.wewe unakazana tu ili ionekane hamna wanachofanya
 
Ni kazi zipi hizo za milioni 3, ambazo mhamiani anweza kufanya?

Hapa unazungumzia kazi then urudi Bongo au kuishi huko?

Kama kuishi huko, hao watu manoshea nao Kodi utaishi nao siku zote??
 
Kuna mtu niliwahi mwambia nitakutumia OMR 100 ya soda,akadharau, ila siku nilomtumia kidogo apagawe baada ya kujua akichange kwa tsh itakuwa ngap.
 
Hata huko ni ukimani tu, tena mnakunya vinyesi vigumu sana
 
Na mdogo wangu hapa anaitwa Juma na ni dereva bodaboda yeye kila uchao geto kwako unawageni wapya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…