Hizi kelele ni kwa udhamini wa Waarabu wa Mchongo
Dah! Wale Waarabu wamejua kutupa tabu hii wiki na miaka mingine mingi.
Imagine kwa haya matokeo tulikua tunaambiwa Uto mechi za ugenini wanashinda.
Imagine leo na kuendelea jinsi hali itakavyokua ni huzuni sana tutaambiwa haikuwahi kufungwa kabisa ugenini. Sijawahi ona waarabu hovyo kama wale.
Hongera sana Mtani ingawa inahuzunisha sana kupishana na nyie airport.
Kimbinyiko kashapoteza wateja wake muhimu wa mabasi ya mkoani.
NB: Wale Waarabu wamejua kutupa tabu sana hadi huyu tasa kanasa mimba tutatemewa mate hadi kwenye msosi.