kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,388
- 16,188
Anamtukana nani wewe au Mama mwenye nyumba? Na upo wapi nije nikuchukue nikupeleke Serena Hotel ukalale kwenye Presidential suite utoke huko kilabuniHapa ninapokaa jirani mbaba akilewa kila siku usiku anatukana matusi tena kwa sauti hadi nakosa usingizi hadi anyamaze ndiyo napata usingizi.
Hii sasa tayari ni kero nahitaji kupumzika mapema, nafanyaje kumdhibiti huyu mlevi😔🙂↕️
Unaanza kwa Mjumbe cha ajabu Mjumbe nae akija anawekwa Matusi unamjua mlevi wewe?Kashtaki serikali ya mtaa, ndio maana ya kuwa na balozi, mwenyekiti n.k
Noma sana!Ila Wewe UNAKAMBA😂Kmmke yani wajukuu zako wataenjoy sana na story hadithi njoo, uongo njoo utamu koleza
Zee lake hilo la miaka 45 limepiga Chibuku na Balimi sasa linapiga kelele mkononi limebeba kisungura mkono wa kushoto mkono wa kulia limebeba Jogoo ni mwendo wa mitusi tu kisa limenyimwa k na Binti Sayuni03Ila Wewe UNAKAMBA😂Kmmke yani wajukuu zako wataenjoy sana na story hadithi njoo, uongo njoo utamu koleza
Noma sana!
Weka picha yakeHuyu ni mchizi sio demu Yan holo holo na binti Sayuni03 ni ID moja trust me
Dah ila wewe😁😁😁Zee lake hilo la miaka 45 limepiga Chibuku na Balimi sasa linapiga kelele mkononi limebeba kisungura mkono wa kushoto mkono wa kulia limebeba Jogoo ni mwendo wa mitusi tu kisa limenyimwa k na Binti Sayuni03
Asante mkuu kesho ntaongea na mwenye nyumbaNyumba ya kupanga ongea na mwenye nyumba.
Kama kwako muone mjumbe au serikali za mitaa.
Onyo
Siku ya yeye kupewa taarifa jiandae kwa matusi yasiyo na idadi.
Wazo
Akitukana wewe record kila kitu alafu mshirikishe kiongozi uliempa jukumu.
Endelea kujidanganyaHuyu ni mchizi sio demu Yan holo holo na binti Sayuni03 ni ID moja trust me
Asante mkuu huyu mzee hana adabu kabisa anatukana matusi mazito kwa sauti kabisaKashtaki serikali ya mtaa, ndio maana ya kuwa na balozi, mwenyekiti n.k
Ili aje kufanya fujo tusilaleRusha jiwe azirai
Anatukana mwenyewe tu ila sauti kubwa, sipo kilabuni, asante unaweza kumpeleka mwingine huko serenaAnamtukana nani wewe au Mama mwenye nyumba? Na upo wapi nije nikuchukue nikupeleke Serena Hotel ukalale kwenye Presidential suite utoke huko kilabuni