Hizi kelele za jirani zinanikosesha usingizi nifanyaje?

Mlevi polisi hua hawampokei wanawaambia nendeni mkayamalize wenyewe huko huko
Hilo suala si kwamba litafanyika muda huo huo, hapa kinachotafutwa ni suluhisho la moja kwa moja kwamba asije kulewa tena akatukana matusi, watamfuata mchana akiwa mzima anaejielewa wamwambie akilewa anasababisha kero kwa wengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…