Hizi kelele za jirani zinanikosesha usingizi nifanyaje?

Ila pombe inaleta confidence za kijinga sana mtu kalewa kutembea hawezi anaanguka tu ila bado anakwambia hunifanyi lolote nitakuua mimi, sasa ona kama huyo mtu unalewa kwa starehe zako unatukana wengine.
 
Yaani leo mimi akianza kutukana ntamrushia hata jiwe aache
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…