Hizi kura za Dkt. Ndugulile zinaashiria Nini?

Hizi kura za Dkt. Ndugulile zinaashiria Nini?

Uelekeo555

Senior Member
Joined
Jun 1, 2024
Posts
160
Reaction score
112
Round One
  • Tanzania 19
  • ⁠Senegal 12
  • ⁠Niger 7
  • ⁠Rwanda 7

Special Round to eliminate one candidate
  • Niger 22
  • ⁠Rwanda 20
  • ⁠Absteein 3

Round Two
  • Tanzania 25
  • ⁠Senegal 14
  • ⁠Niger 6

Je, hiki ni kiashiria cha imani ya dunia kwa Tanzania?
ni ishara muhimu na ya maana sana ya ushawishi, kukubalika na kuaminika kwa Tanzania duniani, hasa inchi ilivyo chini ya huyu kiongozi wetu na kipenzi cha waTanzania wote Rais, comrade Dr.Samia Suluhu Hassan 🐒

ni hivyo tu,
endorsements na influence ya huyu mama kitaifa na kimataifa ni 🔥🔥🔥sana aisee...
 
Hapana. Sio Tanzania iliyochaguliwa bali Dr. Ndugulile. Kuchaguliwa ilitegemea zaidi candidates walivyojipresent kwa delegates. Mengine campaigns & lobbying ni ziada. Unadhani ingekuwa kina mwijaku tungeambulia kitu?
 
Dunia ikijaa watu wenye akili kama hizi mapambano dhidi ya njaa hayataisha. Nina uhakika unatumia kichwa kufugia nywele pekee yake.
 
Serikali ilitia nguvu ya Kutosha Kwa Kampeni.Lakini pia Dr.Faustin alikuwa na Sifa stahiki.Angalau kabla ya kuja Kugombea ubunge alishapiga Kazi WHO,alishafanya Kazi MoH.Namfaham Kama Msomi Mahili,nimemkuta Mwaka wa 2 navyoingia Muhimbili akifanya MD.Pongezi kwake.Kwa ufupi WHO imepata Mtu Mwenye Sifa.Mara ya mwisho nikiwa MoH alikuwa Naibu Waziri wa Afya.
 
Round One
  • Tanzania 19
  • ⁠Senegal 12
  • ⁠Niger 7
  • ⁠Rwanda 7

Special Round to eliminate one candidate
  • Niger 22
  • ⁠Rwanda 20
  • ⁠Absteein 3

Round Two
  • Tanzania 25
  • ⁠Senegal 14
  • ⁠Niger 6

Je, hiki ni kiashiria cha imani ya dunia kwa Tanzania?

Pia soma
Ushawishi wa Mwanadiplomasia namba 1 ambae ni SSH na kukubalika Kwa Tanzania
 
Round One
  • Tanzania 19
  • ⁠Senegal 12
  • ⁠Niger 7
  • ⁠Rwanda 7

Special Round to eliminate one candidate
  • Niger 22
  • ⁠Rwanda 20
  • ⁠Absteein 3

Round Two
  • Tanzania 25
  • ⁠Senegal 14
  • ⁠Niger 6

Je, hiki ni kiashiria cha imani ya dunia kwa Tanzania?

Pia soma
Samia ameipeleka nchi mpelampela mpaka mataifa wamemwelewa. Mungu atupe nini. Samia mpaka afie madarakani. Furaha yangu ni kwamba sector binafsi iliyouawa na jpm imefufuka hilo tu.
 
ni ishara muhimu na ya maana sana ya ushawishi, kukubalika na kuaminika kwa Tanzania duniani, hasa inchi ilivyo chini ya huyu kiongozi wetu na kipenzi cha waTanzania wote Rais, comrade Dr.Samia Suluhu Hassan 🐒

ni hivyo tu,
endorsements na influence ya huyu mama kitaifa na kimataifa ni 🔥🔥🔥sana aisee...
Kwa hiyo tumpongeze rais?
 
Back
Top Bottom