Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Yes,Kwa hiyo tumpongeze rais?
hiyo ni muhimu na ni jambo la maana sana, kwasababu bila kibali, endorsement, na influence ya Dr Samia suluhu Hassan, tusingalikua hata na candidate kwenye nafasi hiyo muhimu sana ya kimataifa 🐒