Hizi kura za Dkt. Ndugulile zinaashiria Nini?

Hizi kura za Dkt. Ndugulile zinaashiria Nini?

Je, hiki ni kiashiria cha imani ya dunia kwa Tanzania?
Siyo kwa Tanzania ni imani specific kwa huyo mgombea
Unataka kusema ile speech ya yule waziri mwingine wa kike nayo imetupa sifa
 
Serikali ilitia nguvu ya Kutosha Kwa Kampeni.Lakini pia Dr.Faustin alikuwa na Sifa stahiki.Angalau kabla ya kuja Kugombea ubunge alishapiga Kazi WHO,alishafanya Kazi MoH.Namfaham Kama Msomi Mahili,nimemkuta Mwaka wa 2 navyoingia Muhimbili akifanya MD.Pongezi kwake.Kwa ufupi WHO imepata Mtu Mwenye Sifa.Mara ya mwisho nikiwa MoH alikuwa Naibu Waziri wa Afya.
Sasa ilikuwaje chura kiziwi akamchagua mtu mwenye taaluma ya ualimu kuwa waziri wa afya akamuacha Dr.?
 
Back
Top Bottom