Serikali ilitia nguvu ya Kutosha Kwa Kampeni.Lakini pia Dr.Faustin alikuwa na Sifa stahiki.Angalau kabla ya kuja Kugombea ubunge alishapiga Kazi WHO,alishafanya Kazi MoH.Namfaham Kama Msomi Mahili,nimemkuta Mwaka wa 2 navyoingia Muhimbili akifanya MD.Pongezi kwake.Kwa ufupi WHO imepata Mtu Mwenye Sifa.Mara ya mwisho nikiwa MoH alikuwa Naibu Waziri wa Afya.