Hizi Lamborghini Urus zinauzwa kama bei gani hivi?

Hizi Lamborghini Urus zinauzwa kama bei gani hivi?

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
35,566
Reaction score
104,386
Maana kuna mwamba anavimba nayo mitaani sijui itakua bei gani?
Screenshot_20250618-122326.png

Kwa maana ata kikokotoo cha TRA hawajaweka, ila simple Google inatuambia new one kuanzia Billion
Screenshot_20250618-122347.png
 
Nadhani bei yake ni sawa na hela mama aliyolipwa na mwarabu baada ya kuuza bandari
 
Zinaanzia $245,000 mpaka 360k bila ushuru.so na ushuru mil 900 mpk bilioni+
 
Back
Top Bottom