Hizi Lamborghini Urus zinauzwa kama bei gani hivi?

Nadhani bei yake ni sawa na hela mama aliyolipwa na mwarabu baada ya kuuza bandari
 
Zinaanzia $245,000 mpaka 360k bila ushuru.so na ushuru mil 900 mpk bilioni+
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…