Yani mtu anachukua simu yako moja kwa moja anaenda YouTube kuchezea chezea anaplay anavyojisikia nimekaa kumwangalia kumwambia haache nashindwa nikaona ataniona mchoyo nilichoamua kufanya sasa nimetafuta no ya mtu kwenye simu nimempigia nimemwambia hallow nafika kwako ili aliyekuwa yuko busy na simu yangu YouTube anipe simu yangu through this nimemwacha comfortable kabisa na hajagundua kama nimenyang anya simu kisanii mana mb zenyewe shida mtu ana play tu! Sasa nawaza uyo nilomwambia naenda wakati sina ata wazo la kwenda kwake