Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh! Majanga ya mwaka haya yaani hata ulichoandika sijakuelewa labda waje wasomi wanaweza kukuelewa.Yani mtu anachukua simu yako moja kwa moja anaenda YouTube kuchezea chezea anaplay anavyojisikia nimekaa kumwangalia kumwambia haache nashindwa nikaona ataniona mchoyo nilichoamua kufanya sasa nimetafuta no ya mtu kwenye simu nimempigia nimemwambia hallow nafika kwako ili aliyekuwa yuko busy na simu yangu YouTube anipe simu yangu through this nimemwacha comfortable kabisa na hajagundua kama nimenyang anya simu kisanii mana mb zenyewe shida mtu ana play tu! Sasa nawaza uyo nilomwambia naenda wakati sina ata wazo la kwenda kwake
Mkuu nadhani wewe umeelewa kuwa hujaelewaa me hata kuelewa sijaelewa bado[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Duh! Majanga ya mwaka haya yaani hata ulichoandika sijakuelewa labda waje wasomi wanaweza kukuelewa.
Nifundishe kwani aiseeMe pia huwa naipata hiyo changamoto! Nikiona amekuja, nachofanya na-set data limit MB 10 then namkabidhi simu aingie huko YouTube.