Hizi mb zangu ninazotypia hapa zingeshaisha

Hizi mb zangu ninazotypia hapa zingeshaisha

Yani mtu anachukua simu yako moja kwa moja anaenda YouTube kuchezea chezea anaplay anavyojisikia nimekaa kumwangalia kumwambia haache nashindwa nikaona ataniona mchoyo nilichoamua kufanya sasa nimetafuta no ya mtu kwenye simu nimempigia nimemwambia hallow nafika kwako ili aliyekuwa yuko busy na simu yangu YouTube anipe simu yangu through this nimemwacha comfortable kabisa na hajagundua kama nimenyang anya simu kisanii mana mb zenyewe shida mtu ana play tu! Sasa nawaza uyo nilomwambia naenda wakati sina ata wazo la kwenda kwake
Duh! Majanga ya mwaka haya yaani hata ulichoandika sijakuelewa labda waje wasomi wanaweza kukuelewa.
 
Duh! Majanga ya mwaka haya yaani hata ulichoandika sijakuelewa labda waje wasomi wanaweza kukuelewa.
Mkuu nadhani wewe umeelewa kuwa hujaelewaa me hata kuelewa sijaelewa bado[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] you tube ni janga saivi, chezea vyuma weyeeeeeh
 
Me pia huwa naipata hiyo changamoto! Nikiona amekuja, nachofanya na-set data limit MB 10 then namkabidhi simu aingie huko YouTube.
 
Katika kitu ambacho sikujaaliwa ni kumwonea aibu mtu hususani ile aibu ya mshumaa ya kuogopa kulalamika ilihali unateketea. Simple unamweleza tu ukweli kwamba simu ni kifaa binafsi hivyo kama anahitaji anunue yake na kama suala ni data basi mweleze atakuharibia budget ulojiwekea kwa kipindi fulani. Hata nyumbani ikiwa unatumia WIFI unalimit matumizi ya baadhi ya website ambazo ni gharama kuingia humo bila umuhimu.
 
Ni vizuri kumwambia ukweli ili siku nyingine ajifunze maana kuna muda tena atakuomba na hutomnyima .
 
Back
Top Bottom