Reginald L. Ishala
JF-Expert Member
- Jun 18, 2011
- 3,810
- 6,789
Shukrani sana mkuu.Pilipili hoho - Green peppers
Habari za muda huu wa wanaJF!
Kama yalivyo maelezo hapo juu.
Naomba kufahamu kwa Kiingereza majina ya mboga na nafaka zifuatazo:-
Mlenda, Bamia, Nyanyamshumaa, Mchicha, Kunde, Mbaazi, Dengu, Majani ya Kunde, Matembele, Bilinganya, Msusa, Figiri, Choroko, na Pilipili Hoho.
Natanguliza shukrani.
Nashukuru sana, Mkuu ITEGAMATWIKunde = Pea
Mbaazi = Bambaranut
Bilinganya = Egg plant
Alaik mkuu!Mlenda= Jutemallow
Bamia= Okra
Nyanyamshumaa= African eggplant
Mchicha= Amaranth
Kunde= Cowpea
Mbaazi= Pegionpea
Dengu= Lentil
Majani ya kunde= Cowpea leaves
Matembele= Sweet potato leaves
Biringanya= Eggplant
Figiri= Ethiopian Mustard
Choroko= Greengram/Mungbean
Hoho= Sweet pepper
Mbaazi ni Bambaranuts mkuu, acha kumpotosha mleta hojaMlenda= Jutemallow
Bamia= Okra
Nyanyamshumaa= African eggplant
Mchicha= Amaranth
Kunde= Cowpea
Mbaazi= Pegionpea
Dengu= Lentil
Majani ya kunde= Cowpea leaves
Matembele= Sweet potato leaves
Biringanya= Eggplant
Figiri= Ethiopian Mustard
Choroko= Greengram/Mungbean
Hoho= Sweet pepper
Barbara nuts ni Njugu na sio Mbaazi. Google basi kabla huja comment kujiridhisha. Mimi ni mtu wa kilimo nduguMbaazi ni Bambaranuts mkuu, acha kumpotosha mleta hoja
Usipate tabu wazungu hawali mlenda na matembele
Kilindoni
Nitajibu nazojua naanza na;
Bamia - Okra (lady's fingers)
Dengu - The Deng's au The Dengue
Pilipili hoho - Green peppers
Nipigie uyasikie kinywani mwanguAsante sana mkuu Dream Queen
Ni kweli mengi yanapatikana www.google.com
Lakini pia yapo yasiyopatikana Google.
Wakati mwingine hatuitumii Google kwa sababu:-
1.Tunajisikia vizuri kupata neno kutoka kinywani mwako.
2.Tunafarijika sana unapo-like au ku (comment) kutolea maoni.
3.Tunajivunia kupata mawili matatu kutoka kwako wewe mwana JamiiForums na Mwana Great Thinker wetu.