Hizi mboga na nafaka kiingereza chake ni kipi?

Hizi mboga na nafaka kiingereza chake ni kipi?

Mlenda= Jutemallow
Bamia= Okra
Nyanyamshumaa= African eggplant
Mchicha= Amaranth
Kunde= Cowpea
Mbaazi= Pegionpea
Dengu= Lentil
Majani ya kunde= Cowpea leaves
Matembele= Sweet potato leaves
Biringanya= Eggplant
Figiri= Ethiopian Mustard
Choroko= Greengram/Mungbean
Hoho= Sweet pepper
Hoho ni Bell peppers
Choroko ni Green Lentils
Mchicha ni Spinach ukitaka Local spinach
Nyanya mshumaa kama ni nyanya chungu ni garden eggs
 
Mchicha sio Spinach, wala choroko sio Lentils, nyanya chungu sio garden eggs pia. Hoho kuita Bell pepper ni sawa but common name ni S.peppers
Ni kama nilivyosema mimi ila hata ukigoogle utaona ni uhakika,sivijui vitu hivi kwa kukugoogle navijua kwa kuviona!
 
Utaalamu wa kilimo na kuvijua vitu kwa lugha ya kiingereza havina uhusiano mkuu.Hapa tunazungumzia Lugha.Pliz google weka na picha zake!Me navijua kama mtaalam wa lishe!
Kilimo tunakisoma kwa kiingereza. Unavijua kama mtaalamu wa lishe kwa lugha ipi?

Majina yote niliyoyayoa nipo sahihi na nina uhakika 100% na ukitaka scientific names pia nitakupa. Hata ukitaka ingredients za hizo mboga na mazao nitakupa pia
 
Mkuu kedekede

Ile mboga tunayoita SPINACH inayoendana kimuonekano na chainizi [Chinese] na Sukuma wiki (Collards) je, Yenyewe inaitwaje kwa Kiswahili?
 
Kilimo tunakisoma kwa kiingereza. Unavijua kama mtaalamu wa lishe kwa lugha ipi?

Majina yote niliyoyayoa nipo sahihi na nina uhakika 100% na ukitaka scientific names pia nitakupa. Hata ukitaka ingredients za hizo mboga na mazao nitakupa pia
Na ndio maana nimekuambia majina kwa kiingereza ,usiwe mbishi,majina niliyosema nina uhakika nayo.Umeona nimekubishia eggplant?Okra?na Mboga nyingine?Umepatia ndio maana nimechagua ambazo umekosea.
 
Na ndio maana nimekuambia majina kwa kiingereza ,usiwe mbishi,majina niliyosema nina uhakika nayo.Umeona nimekubishia eggplant?Okra?na Mboga nyingine?Umepatia ndio maana nimechagua ambazo umekosea.
Tusibishane mkuu. Ila usidanganye na heshimu tasnia za watu. Umesema wewe ni mtu wa lishe hivyo naheshimu tasnia yako.

Sijakosea hata moja na tukubaliane kutokukubaliana katika hili
 
Sijui nikujibuje lakini kilimo ni utaalamu au sayansi ya vitendo. Ni kama utaalamu mwingine wowote. Ukienda SUA utaelewa zaidi maana zipo shahada zaidi ya 20 tofauti za kilimo
Yaani mtu na akili zako unaenda SUA kujifunza sayansi ya kupanda nyanya au mchicha?
 
Back
Top Bottom