Samcezar
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 13,095
- 22,731
Ni Bell Pepper sio green pepperPilipili hoho - Green peppers
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni Bell Pepper sio green pepperPilipili hoho - Green peppers
Hapana mkuu mimi nilisoma kilimo na ni mtafiti wa kilimo biasharaWewe ni chef au???
Mgagani unaitwa Spider plant. Ni moja ya mboga za asili zenye virutubisho vingi ikiwemo kiwango kikubwa cha madini ya chumanaomba kufahamishwa mboga inayoitwa MGAGANI inatumiika saaana mikoa ya kanda ya ziiwa ,na maeneo ya mikoa jirani na zambia kama vile RUKWA.
Pia ni kongezea: Mchunga sio salad bali ni wild lettuce. Salad ni aina ya mboga inayoota kama magugu maji na inapatikana kwa wingi Arusha na Moshi hasa katika maeneo yenye maji maji au mifereji. Jina Mchunga ni la kiswahiliSaladi nahisi kwa haraka ni jina lililotoholewa kujenga picha Ila kwa ninachojua "MCHUNGA" ni jina halisi la kiswahili ambalo pia baadhi ya makabila wanalitumia.
Mmea huu asili yake ni pwani ya Afrika mashariki.....
Mmea unaofanana na huu ambao unaweza kupatikana kwenye Kanda nyingine za kiikolojia unafahamika kama Wild lettuce Ila botanical name ni tofauti na Mchunga japo yote Ina sifa ya kutumika kama chakula na dawa kwa pamoja.
Pitia hapa kwanzaMkuu Alaik Naomba unitajie TYPES OF NUTS "EDIBLE"
Nimekutana na "JAMII ZAKE" halafu na "TYPES" zake kama tatu hivi.
Lakini sina uhakika zimetimia na ni sahihi zilizosemwa hapa
www.masterclass.com/articles/types-of-edible-nuts
www.homestratosphere.com
Mlenda - MucusHabari za muda huu wa wanaJF!
Kama yalivyo maelezo hapo juu.
Naomba kufahamu kwa Kiingereza majina ya mboga na nafaka zifuatazo:-
Mlenda, Bamia, Nyanyamshumaa, Mchicha, Kunde, Mbaazi, Dengu, Majani ya Kunde, Matembele, Bilinganya, Msusa, Figiri, Choroko, na Pilipili Hoho.
Natanguliza shukrani.
Sifahamu kama ni "STASHAHADA" au ni "SHAHADA" hii, Lakini vyovyote iwavyo hakuna "ADA YA MZAZI" wala "ADA YA SERIKALI" iliyochezewa hapa, Bali imetendewa kazi ipasavyo.Hapana mkuu mimi nilisoma kilimo na ni mtafiti wa kilimo biashara
Mkuu Extrovert Shukrani sana kwa mchango wako.Mlenda - Mucus
Bamia - Lady finger
Nyanyamshumaa - Tomato-Candle
Mchicha - Leafy greens
Kunde - Micro beans
Mbaazi - Green Soy
Dengu- Yellow beans
Majani ya kunde - Micro bean leaves
Matembele - Front Saliva
Bilinganya - Purple Billi
Msusa - Muabandon
Figiri - Feegys
Choroko - Bad Meets Evil
Pilipili HoHo- Green Pepper
Karibu sana mkuu, Nashukuru sana kwa mchango wako.wakuu mi napiga kambi apa kwanza.
Mimi niko njema kabisa mkuu wangu.Hali yangu njema sijui yako bwana Reginald,
Huyo kwenye profile ni wewe???
Samahani kama nipo nje ya mada
Nashukuru sana mkuu wangu.Una adabu sana kijana pia u mpole na zaidi una busara,
Hongera sana, usije ukabadilishwa na mabazazi wa humu JF, endelea na tabia njema hivyo hivyo.
Pitia hapa kwanza
![]()
35 Different Types of Nuts and Seeds
Quicklist: Types of Nuts and Seeds Cashews Peanuts Macadamia Nuts Hazelnuts Pecans Almonds Pistachios Brazil Nuts Walnuts Chestnuts Sunflower Seeds Kola Nuts Pumpkin Seeds Flax Seeds Cacao Cedar Nuts Pine Nuts Acorns Coconut Ginkgo nutswww.homestratosphere.com
noma sana mtaalamMlenda= Jutemallow
Bamia= Okra
Nyanyamshumaa= African eggplant
Mchicha= Amaranth
Kunde= Cowpea
Mbaazi= Pegionpea
Dengu= Lentil
Majani ya kunde= Cowpea leaves
Matembele= Sweet potato leaves
Biringanya= Eggplant
Figiri= Ethiopian Mustard
Choroko= Greengram/Mungbean
Hoho= Sweet pepper