Hizi mboga na nafaka kiingereza chake ni kipi?

Hizi mboga na nafaka kiingereza chake ni kipi?

Na ndio maana nimekuambia majina kwa kiingereza ,usiwe mbishi,majina niliyosema nina uhakika nayo.Umeona nimekubishia eggplant?Okra?na Mboga nyingine?Umepatia ndio maana nimechagua ambazo umekosea.
Huyo ndiyo graduate wa SUA. Hata majina ya mimea vipando hayajui
 
Tusibishane mkuu. Ila usidanganye na heshimu tasnia za watu. Umesema wewe ni mtu wa lishe hivyo naheshimu tasnia yako.

Sijakosea hata moja na tukubaliane kutokukubaliana katika hili
Na mimi sijakosea hata moja.Wewe ndio huheshimu tasnia za watu maana unalazimisha wewe upo sahihi,Narudia ulimopatia nakuunga mkono,ulimokosea nimekurekebisha.Kama umesema we agree to disagree ni sahihi kwako lakini mimi nina disagree to agree.
 
Huyo ndiyo graduate wa SUA. Hata majina ya mimea vipando hayajui
Kama lilivyo jina lako basi ndivyo ulivyo. Najivunia kuwa graduate wa SUA na najivunia kuwa mtaalamu wa Kilimo. Hujui kilimo tulia wala usilete porojo.
 
Na mimi sijakosea hata moja.Wewe ndio huheshimu tasnia za watu maana unalazimisha wewe upo sahihi,Narudia ulimopatia nakuunga mkono,ulimokosea nimekurekebisha.Kama umesema we agree to disagree ni sahihi kwako lakini mimi nina disagree to agree.
Sikulazimishi ila naomba niseme wewe hujui unachosema na utakuja kujua baadaye utakapoacha ushindani ukakaa kujifunza.

Usilishe watu uongo. Haijalishi uongo umesemwa na watu wengi haimaanishi ni ukweli. Usiku mwema
 
Kilimo tunakisoma kwa kiingereza. Unavijua kama mtaalamu wa lishe kwa lugha ipi?

Majina yote niliyoyayoa nipo sahihi na nina uhakika 100% na ukitaka scientific names pia nitakupa. Hata ukitaka ingredients za hizo mboga na mazao nitakupa pia
That's why mchicha umeuita amaranth ambayo kimsingi ni scientific name sio English name.

Ila asante kwa mchango wako kwenye post ya mtoa mada
 
Barbara nuts ni Njugu na sio Mbaazi. Google basi kabla huja comment kujiridhisha. Mimi ni mtu wa kilimo ndugu

Yawezekana ni makosa katika uandishi.

Sina sababu ya kumlaumu bali nakushukuru sana kwa mchango wako, Nakushukuru pia wewe kwa kurekebisha hapo.

Namshukuru na yeye sana pia kwa mchango wake.

ASANTENI SANA WAKUU WANGU.
 
Mlenda= Jutemallow
Bamia= Okra
Nyanyamshumaa= African eggplant
Mchicha= Amaranth
Kunde= Cowpea
Mbaazi= Pegionpea
Dengu= Lentil
Majani ya kunde= Cowpea leaves
Matembele= Sweet potato leaves
Biringanya= Eggplant
Figiri= Ethiopian Mustard
Choroko= Greengram/Mungbean
Hoho= Sweet pepper
Lazima utakuwa ulisoma Agriculture mtaalam. Asante Sana.
 
Mkuu Mchunga... Unaiitwaje natafuta passport.... Si unajua ss wasambaa na hiyo mboga nataka nikalie Denmark kabla mambo hayajabadilika.

Mlenda= Jutemallow
Bamia= Okra
Nyanyamshumaa= African eggplant
Mchicha= Amaranth
Kunde= Cowpea
Mbaazi= Pegionpea
Dengu= Lentil
Majani ya kunde= Cowpea leaves
Matembele= Sweet potato leaves
Biringanya= Eggplant
Figiri= Ethiopian Mustard
Choroko= Greengram/Mungbean
Hoho= Sweet pepper
 
Mchicha sio Spinach, wala choroko sio Lentils, nyanya chungu sio garden eggs pia. Hoho kuita Bell pepper ni sawa but common name ni S.peppers
One organism can have more than one common names. Bell pepper, sweet pepper, hoho, green pepper, etc
 
Back
Top Bottom