Hizi mboga zinaitwaje kwa Kiswahili na zinapatikana wapi?

Hizi mboga zinaitwaje kwa Kiswahili na zinapatikana wapi?

Ndebile

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2011
Posts
7,745
Reaction score
11,267
Wakuu habari za weekend,

Naomba msaada wa haraka wa namna ya kupata mboga hizi na ikibidi mbegu zake. Na je, nikienda sokoni niziulize kwa majina yapi, maana nimeelekezwa na mtu ambaye si Mswahili naye kazitaja kwa majina haya:

1. Watercress
2. Parsley


.
download (1).jpg


images.jpg
 
Sokoni kisutu ata masoko mengine tafuta wanapouza izi salad’s za kizungu waambie unataka majani ya parsley yanafanana na giligiliani na pia giligiliani inaitwa coriander
Ubarikiwe sana mkuu..
 
Kuna mitaro ya aina nyingi. Eleza ni aina ipi ya mtaro unamaanisha!
[/QUOTE] Mitaro ya maji.
 
Back
Top Bottom