Hizi mboga zinaitwaje kwa Kiswahili na zinapatikana wapi?

Hizi mboga zinaitwaje kwa Kiswahili na zinapatikana wapi?

Nimekuwa nikitumia hivi viungo vinne kwa miaka mingi lkn sijui vinaitwaje kwa kiswahili -Coriander, Parsley, celery, leeks


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Arusha unapata bila tabu na hyo namb Mbili tunaiita salad zinaoteshwa kwenye maji yasiyokatika kama matindiga zinastaw hatar zinanukia ukipikia na nyam Utataman kumeza na bakul La mboga
 
Wakuu habari za weekend,

Naomba msaada wa haraka wa namna ya kupata mboga hizi na ikibidi mbegu zake. Na je, nikienda sokoni niziulize kwa majina yapi, maana nimeelekezwa na mtu ambaye si Mswahili naye kazitaja kwa majina haya:

1. Watercress
2. Parsley


Hiyo namba moja inafanana sana na figili (celery)
IMG_20210404_131443_910.jpg
 
Nimekuwa nikitumia hivi viungo vinne kwa miaka mingi lkn sijui vinaitwaje kwa kiswahili -Coriander, Parsley, celery, leeks


Sent from my iPhone using JamiiForums
Coriander na Parsley kwa lugha ya Kiswahili ni giligilani.
Coriander na Parsley vinafanana sana , tofauti ni ndogo tu.
Coriander majani yake yana shape ya round wakati Parsley majani yake ya yamechongoka.
Pia unaweza kuvitofautisha kwa kunusa.
Celery ni figili.
Leek sijuhi inaitwaje lakini ni kama shape ya vitunguu visivyokuwa na kirungu (bulb).
 
Hio ya pili wakurya wanaipenda sana na wanaipanda kwa wingi kwenye makazi yao kama mboga. Jina siifahamu
 
Back
Top Bottom